Kuanzia Jumatatu, menu za simBanking zitaanza kutozwa

Huyu mama ni bure kabisa.

First gentlement kwani ukikaa na mama private hauwezi kumshauri kiuwandani?
Maisha yao hayajui maumivu ya makato ya hizi tsh 100 kwenye kila kitu.

Mtu analipwa mamilioni unadhani ataona maumivu ya kukatwa mia mia hizi....?!

Inakera sana .....
 
Kutumia App hakuna makato ya salio la muda wa maongezi. Pesa yako wataila kwenye bando la internet tu. Kama unatumia internet ya bure basi utakuwa umewakwepa moja kwa moja.
 
Sijawahi kutumia app ya simbanking ila nadhani makato ya mtandao(sh 100) yatakuwa ni ya mtandao tu na benki watakuwa wanakata kwa kila transaction unayofanya kwa simbanking ambayo itaonekana kwenye statement yako.
Uko sahihi. Utaliwa kwenye bando la internet tu, kama unavyoliwa hapa JF.
 
Vodacom ukiingia CRDB "*150*03#" wanakata 500.

Siku zote!
uongo wa stigirazi joji huu
makato kwa vodacom yapo mda mrefu tu lakini huchaji 20 Tsh per Sec

kwa maana hiyo ukiwa na salio hata la sh 100 uta weza kufanya bank transfer

the more you delay the more they charge
remember 20 tsh/sec
 
Kama tunataka tufurahie wote, Hatuna budi tuumie wote ....ndo maendeleo yalivyo
 
It is the same way of re-writing super exploitation. Labda hela za sensa hawana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tujenge taifa kwa gharama ya jasho letu huku viongozi wa ccm na familia zao wanajineemesha kwa kisingizio cha uzalendo.
 
Mkuu wakianza kutoza kodi ya kunya nishtue nibaki na mavi yangu nyumbani kama alivyowahi kushauri yule juha
 
Tumieni app za hizo bank kutembelea menu zake ni bure, ni data tu.
 
Kuwa na viongozi aina ya akina Magufuli ni matatizo unataka kila mradi ukamilike huku huna uwezo wa kifedha-hata Roma haikujengwa siku moja.
ndo tutajifunza umuhimu wa hesabu na chemistry katika maisha
 
Tutaenda ATM
Mkuu kuna mambo ya umeme emergency usiku salio la haraka yaani kama mfano hauna salio kwenye line inakuwaje maana mitandao mingine ukiacha tu salio wao wanachukua hata uelewi limeenda wapi!

Hapa ndio tumepigwa mazima

Nchi hii tungekuwa serious tungeingia mtaani kudai haya makato yasitishwe.
 
uongo wa stigirazi joji huu
makato kwa vodacom yapo mda mrefu tu lakini huchaji 20 Tsh per Sec

kwa maana hiyo ukiwa na salio hata la sh 100 uta weza kufanya bank transfer

the more you delay the more they charge
remember 20 tsh/sec
Wewe upo voda? Kwa maana ya kufanya kazi? Mimi nina number zaidi ya moja miaka 20 sasa nilihama voda kwenda airtel ikiwa ni hiyo sababu na hadi sasa nina voda hata iwe na 400 bal..ance ambayo haiko kwenye bundle haikubali kupiga code ya crdb sim banking
 
[emoji1324][emoji1324][emoji1324]‍[emoji3603][emoji1324]‍[emoji3603][emoji1324]‍[emoji3603][emoji1324]‍[emoji3603][emoji1324]‍[emoji3603][emoji1324]‍[emoji3603]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…