Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

Unadhani Kuna muandishi anaeza kuchunguza hilo ? au hata kuumuliza Mh Rais km aliwahi kupata kadhia Hy Kwa mujibu wa hicho kitabu ? Labda waandishi wa huko uliko Mkuu
Sasa hivi Marekani tayari kuna vitabu viwili ambavyo vimeshaandikwa kuhusu urais wa Joe Biden na vile ambavyo watu wake wa karibu walivyokuwa wanauficha umma kuhusu uwezo wake wa kuiongoza nchi akiwa na hali ya uzee.

Waandishi wa hivyo vitabu wamezunguka kwenye karibu vyombo vyote vikubwa vya habari kuzungumzia vitabu vyao.

Huku kwetu huyo Kabendera kahojiwa na mtu mmoja kwenye YouTube asiye na subscribers hata 30,000.

Vyombo vyote vikubwa vya habari nchini hata havikuripoti kuhusu hicho kitabu.

Hatuko serious kwa lolote sisi. Na ndo maana kila kukicha Samia anagawa hela kwenye vilabu vya mpira.
 
Tunasikitisha sana kama taifa.
 
Mkuu huwa mnasemaga marehemu aachwe apumzike...vipi unataka watu waanze kumtukana
 
WaTZ wako serious na Yanga na Simba tu
 
Sasa, jitu lenyewe linatembea limerembua macho, kwa nini lisibakwe,
Kwa, ufupi nchi inaongozwa, na vibaka, watu wajinga, akili ndogo,
Sasa hv nafikiri nchi IPO wazi, kila Kona,
Nani huyo anarembua macho
 
Mkuu huwa mnasemaga marehemu aachwe apumzike...vipi unataka watu waanze kumtukana
Madai yaliyotolewa ni makubwa mno na ambayo hayajawahi kutolewa huko nyuma [unprecedented].

Yaani tulikuwa na Rais muuaji na mbakaji ikulu?
 
Tatizo la kutokua serious ni kubwa mno hata Kwa sisi tunaodai accountability

Hata humu
 
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende ama Bora liende

Jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe

Jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi
CCM wanatumia mfumo wa unyumbu wa kisiasa,

Unyumbu wa kisiasa ni mfumo kandamizi unao ruhusu wanaopewa dhamamana kuahirisha kufikiri kwa nafsi kwasababu ya kujipendekeza ama kulitumikia kundi fulani kwa masilahi binafsi na uoga wa kuigiza kwa viongozi wao, (unafiki), a.k.a kujizima data kwassa uchawa tuseme kuahirisha kufikiri kizalendo

Human herding in politics is an occurrence of entrusted people suspending their individual reasoning because of flattering or working towards group objectives and hypocrite

Tuliandaliwa kuto kuhoji na tatizo la kuhoji linaanzia kwenye ngazi ya familia kwenye ngazi hiyo kuna vitu ukihoji utaambiwa kama umekua uondoke

Kwasasa hii tabia ya kukataa kuhojiwa imekuwa ni mfumo ambao umebebwa kwenye ngazi zote za maisha na Ndiyo maana wadau waliojaribu kuhoji kuhusu tozo za kwenye simu waliambiwa kama hawataki kulipa tozo waende burundi
 
Why cant you use your brain once in a while? Try at least a little.
 
Elimu duni
Umasikini

Ndio tatizo kubwa linalo tukabili Kama nchi,.Kiongozi kakulia katika umasikini mkubwa,elimu yake primary Hadi University MBOVU mtu huyo atakua na akili nzuri??anahitaji exposure ya kutosha sana ili awe right upstairs..

Umasikini Mara nyingi sio kukosa Fedha ni Mindset,unaweza kuzaliwa masikini baadae ukaja kua tajiri ila fikra zako bado za kimasikini,.

Masaki mtaani Fulani wakati wanaishi wazungu miaka ya 60s walijenga nyumba zao kubwa na nyumba ndogo ya wafanyakazi,walipohama zile nyumba wakarithi viongozi wa serikali ya Tanzania,.zile nyumba ndogo za wafanyakazi Viongozi wakawa wanafugia ng'ombe na Kuku, umeona akili za kimasikini??baada ya kufugia shamba watu wanafugia masaki,Jana mtoto wa Rais kasema baba yake alikua anafuga ng'ombe ikulu,kwa scenario hiyo tu,mtu huyo anapaswa kuongoza watu timamu??
Usishangae Wananchi,tupo kwenye Idiocracy State..

Idiocracy means a society (or government) that is run by idiots — by very unintelligent, ignorant, or careless people.
 
Ni kweli MamaSamia2025 uliwahi kunusurika kubakwa na joni?
 
Sawa. Ila waliopo madarakani wana wajibu mkubwa zaidi yetu sisi raia wa kawaida.

Na media kama 4th estate nayo ina wajibu mkubwa sana.
Jamii nzima ndiyo inayotengeneza viongozi

Tunachoona ni uzao weru wenyewe tu

Hawa viongozi wamekuzwa na familia zetu
 
M
Media karibu zote zinaimba mapambio ya kumtukuza bi mkora. Angalia front page kwa kila gazeti kila siku hukosi neno samia, samia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…