Kuanzia juu, katikati, mpaka chini, Tanzania ni nchi ya watu wasio serious kabisa!

Hawana elimu ya kutosha, pamoja na woga/kuogopa.
 
Mkuu Ngosha umesema iliyokweli tupu.
Naungana nawe.
 
Nakiomba hicho kitabu nikisome kwa kina
 
Samaki huoza kuanzia kichwani,matatizo ya Tanzania yameanzia huko utosini,ndiyo maana rasilimali zetu zinagawiwa kwa wageni na anayefanya hivyo anavuna sifa. Huku Kanda ya Ziwa inaaminika yeye na Msoga One ndiyo walifanya finishing ile March 12.
 
Nitakuwa serious kwa vitu ambavyo vinagusa masilahi yangu tuuπŸ‘ŒπŸ‘ŒπŸ‘Œ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…