Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Braza...kukojoa kuna faida nyingi sana kuliko maamuzi haya ya kipuuzi ya kuacha bia

Amin amin nakwambia maamuzi uliyofanya sio ya busara
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bro kwahiyo nithink twice au sio.

Aaah sitaki ntatafuta nywaji lingine la maana sio bia
 
Mirinda nyeusi inaniita.....

kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. πŸ‘‹

Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja nishtue kidogo ili niwe mtamu😁 mambo ya weekend.

Jamaniiiii nmekunywa bia mbili tu yani mbili tuuuuu nimesusu usiku kucha nimeamka zaidi ya mara nane....... Hadi kuna muda nimesimama mlango wa toi nikajisemea hivi ni hizi bia mbili tuuuu au kuna mengine, kweli???? Bia mbili!!! Yani lita moja tu ya bia ila susu lita kumi.....hapana sinywi tena bia.

Kwaheri ya kuonana
View attachment 3206599

Mbadala wa bia nini naweza kunywa, msintajie vinywaji vyenye price tag mshahara wangu, yani salary laki mbili kinywaji laki mbili hapana labda ninunuliwe.

Sijaacha pombe nimeacha bia.

Walevi wote peponi πŸ₯°
Taifa limepata hasara sana! Kuacha kulipa kodi makusudi halafu unatangaza aisee, nimesikitika sana.
 
Mimi toka nimeanza kunywa konyagi akili zimeongezeka.Yaani nimekuwa na akili nyingi sana kama nyoka.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ Bro kwahiyo nithink twice au sio.

Aaah sitaki ntatafuta nywaji lingine la maana sio bia
Siku moja nilikunywa pombe na mtu
Nilikuwa nacheka huku najiuliza the Phuck am i laughing?? Sina jibu lakini nacheka πŸ€¦β€β™€οΈ

Ambacho nina uhakika sikulala nae lakini nakumbuka nilimsindikiza nikiwa nimejifunga kijitaulo...sasa how nilivua nguo? Sikumbuki hadi leo, rafiki zangu wa hostel wote wanasema hawakuniona nikiingia na mwanaume hostel

Kimsingi pombe sio poa basi tu sijajua watu wanazipendea nini
 
Dah Bro tangulia kule kimasihara nakuja πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sikumbuki ati πŸ˜‚πŸ˜‚
Sikumbuki alinivua ama nilivua mwenyewe πŸ€¦β€β™€οΈ

Nachojua pombe sio
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 dah bro usikute ulivokua unacheka, ilikua ni unaichekelea make haukumbuki kituπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣 dah bro usikute ulivokua unacheka, ilikua ni unaichekelea make haukumbuki kituπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Braza unafosi sana stori yangu iende kwa rikiboy
Basi sawa,tuipeleke tu 🀣
 
walevi wengi wamejikuta wakijisaidia hajakubwa mitaani hovyo usiku wengine wamefika atua mbaya ya kulala na machangudoa ya kuokoteza mitaani ni mambo ya hovyo kwa kweli
 
Ilivyofika tar 1 mwaka huu, nilisema sitokunywa tena bia. Matokeo yake tar 3 nilikunywa nusu nizime πŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺπŸ˜ͺ
Bia na wewe mkubwa bia, hela na wewe mkubwa ni hela, yaani hela inakuamrisha ufanye nini na usifanye nini,
 
Mtu ni mke wa mtu ,Ila akipewa milioni moja mtu aweke kichwa tu,ingawa ameshaapa kuwa hatotoka nje, Sasa waza hela na misimamo yako ni nani mkubwa,
 
Back
Top Bottom