Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
- Thread starter
-
- #241
ππππππ Bro kwahiyo nithink twice au sio.Braza...kukojoa kuna faida nyingi sana kuliko maamuzi haya ya kipuuzi ya kuacha bia
Amin amin nakwambia maamuzi uliyofanya sio ya busara
Mheshimiwa nakupigia nkuambie kwa kirefunataka kujua kwanza kabla sijatia neno,
wewe ni mnywaji au mlevi wa bia?
Taifa limepata hasara sana! Kuacha kulipa kodi makusudi halafu unatangaza aisee, nimesikitika sana.Mirinda nyeusi inaniita.....
kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. π
Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja nishtue kidogo ili niwe mtamuπ mambo ya weekend.
Jamaniiiii nmekunywa bia mbili tu yani mbili tuuuuu nimesusu usiku kucha nimeamka zaidi ya mara nane....... Hadi kuna muda nimesimama mlango wa toi nikajisemea hivi ni hizi bia mbili tuuuu au kuna mengine, kweli???? Bia mbili!!! Yani lita moja tu ya bia ila susu lita kumi.....hapana sinywi tena bia.
Kwaheri ya kuonana
View attachment 3206599
Mbadala wa bia nini naweza kunywa, msintajie vinywaji vyenye price tag mshahara wangu, yani salary laki mbili kinywaji laki mbili hapana labda ninunuliwe.
Sijaacha pombe nimeacha bia.
Walevi wote peponi π₯°
Siku moja nilikunywa pombe na mtuππππππ Bro kwahiyo nithink twice au sio.
Aaah sitaki ntatafuta nywaji lingine la maana sio bia
Dah Bro tangulia kule kimasihara nakuja ππππSiku moja nilikunywa pombe na mtu
Nilikuwa nacheka huku najiuliza the Phuck am i laughing?? Sina jibu lakini nacheka π€¦ββοΈ
Ambacho nina uhakika sikulala nae lakini nakumbuka nilimsindikiza nikiwa nimejifunga kijitaulo...sasa how nilivua nguo? Sikumbuki hadi leo, rafiki zangu wa hostel wote wanasema hawakuniona nikiingia na mwanaume hostel
Kimsingi pombe sio poa basi tu sijajua watu wanazipendea nini
Dah Bro tangulia kule kimasihara nakuja ππππ
Sasa nguo zilienda wapi ππππFor sure bro...hakuna tulichofanya π€£
Sasa nguo zilienda wapi ππππ
π€£π€£π€£π€£π€£π€£ dah bro usikute ulivokua unacheka, ilikua ni unaichekelea make haukumbuki kituπππππSikumbuki ati ππ
Sikumbuki alinivua ama nilivua mwenyewe π€¦ββοΈ
Nachojua pombe sio
Aaah mie ndio cha upole wa ukoo. Usinichafulie cv brooπ€£π€£π€£
Bia na wewe mkubwa bia, hela na wewe mkubwa ni hela, yaani hela inakuamrisha ufanye nini na usifanye nini,Ilivyofika tar 1 mwaka huu, nilisema sitokunywa tena bia. Matokeo yake tar 3 nilikunywa nusu nizime πͺπͺπͺπͺ
Same to you Bro..!!
πππBro maisha yafaa nini bila mvinyo? Tuendelee kunywa bro.
Life is for living, and we only live onceBia na wewe mkubwa bia, hela na wewe mkubwa ni hela, yaani hela inakuamrisha ufanye nini na usifanye nini,
Mzee! πππSame to you Bro..!!
tunapambana kutafuta hela mzee, si unajua watoto wakali wamejaa huku mtaani wanahitaji matunzo bro..??π