Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Mirinda nyeusi inaniita.....

kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. 👋

Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja nishtue kidogo ili niwe mtamu😁 mambo ya weekend.

Jamaniiiii nmekunywa bia mbili tu yani mbili tuuuuu nimesusu usiku kucha nimeamka zaidi ya mara nane....... Hadi kuna muda nimesimama mlango wa toi nikajisemea hivi ni hizi bia mbili tuuuu au kuna mengine, kweli???? Bia mbili!!! Yani lita moja tu ya bia ila susu lita kumi.....hapana sinywi tena bia.

Kwaheri ya kuonana
View attachment 3206599

Mbadala wa bia nini naweza kunywa, msintajie vinywaji vyenye price tag mshahara wangu, yani salary laki mbili kinywaji laki mbili hapana labda ninunuliwe.

Sijaacha pombe nimeacha bia.

Walevi wote peponi 🥰
Kunywa spirit/ kunywa ngumu kumezaa
 
walevi wengi jf tumefanikiwa kuwanasua wapo walifika atua ya kupost picha za pombe kali wakichanganya pamoja na ugoro kwenye uzi wa mada kwajili ya walevi lakini sasa naona fahamu zimewarudi na wanalijenga taifa kwa namna moja au nyingine
 
Nipe mbadala kabla sijafanya maamuzi ya kunywa mirinda na mo passion
Screenshot_20250119-200529~2.jpg

Haina hangover kabisa
 
Back
Top Bottom