Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Inauzwaje hilo jina tu nkilewa siwezi kulitamka, nitawaomba franco ๐Ÿ˜
inategemea na ulipo ila kuipata hiyo lazima ukaulizie liquor store maana kuikutakuta tu sehemu za kawaida ngumu maana watz wengi si wanywaji wa liqueur ila liquor!.
huku nilipo ni around hamsini ama sixty!.
siku ukibahatisha kuitia mdomoni mwako hautanisahau...๐Ÿ˜
 
Mirinda nyeusi inaniita.....

kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. ๐Ÿ‘‹

Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja nishtue kidogo ili niwe mtamu๐Ÿ˜ mambo ya weekend.

Jamaniiiii nmekunywa bia mbili tu yani mbili tuuuuu nimesusu usiku kucha nimeamka zaidi ya mara nane....... Hadi kuna muda nimesimama mlango wa toi nikajisemea hivi ni hizi bia mbili tuuuu au kuna mengine, kweli???? Bia mbili!!! Yani lita moja tu ya bia ila susu lita kumi.....hapana sinywi tena bia.

Kwaheri ya kuonana
View attachment 3206599

Mbadala wa bia nini naweza kunywa, msintajie vinywaji vyenye price tag mshahara wangu, yani salary laki mbili kinywaji laki mbili hapana labda ninunuliwe.

Sijaacha pombe nimeacha bia.

Walevi wote peponi ๐Ÿฅฐ
Uko wapi, kuna kama 1.2 mill ya bear.. upige ya muogano.. utaacha kesho
 
Pombe ni kama madawa ya kulevya tu huachi hata kidogo kacheki series ya limitless au movie ya limitless utaona jinsi drugs zinavokuwa ngumu kutoka mwilini hiii starehe hauwezi kuiacha ni sawa na mtu aseme naacha bangi na hawezi kuacha
 
Back
Top Bottom