Kuanzia leo 19.01.2025 sitakunywa tena bia......

Mirinda nyeusi inaniita.....

kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. šŸ‘‹

Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja nishtue kidogo ili niwe mtamu😁 mambo ya weekend.

Jamaniiiii nmekunywa bia mbili tu yani mbili tuuuuu nimesusu usiku kucha nimeamka zaidi ya mara nane....... Hadi kuna muda nimesimama mlango wa toi nikajisemea hivi ni hizi bia mbili tuuuu au kuna mengine, kweli???? Bia mbili!!! Yani lita moja tu ya bia ila susu lita kumi.....hapana sinywi tena bia.

Kwaheri ya kuonana
View attachment 3206599

Mbadala wa bia nini naweza kunywa, msintajie vinywaji vyenye price tag mshahara wangu, yani salary laki mbili kinywaji laki mbili hapana labda ninunuliwe.

Sijaacha pombe nimeacha bia.

Walevi wote peponi 🄰
Wanywaji Huwa mnafeli unakunywaje bia mbili Hadi tatu bila Lita Moja ya maji ya kunywa!!?

Bia mbili litamoja na nusu ya maji!huwezi ona hiyo kitu au limao kidogo uweke!
 
Mirinda nyeusi inaniita.....

kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. šŸ‘‹

Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja nishtue kidogo ili niwe mtamu😁 mambo ya weekend.

Jamaniiiii nmekunywa bia mbili tu yani mbili tuuuuu nimesusu usiku kucha nimeamka zaidi ya mara nane....... Hadi kuna muda nimesimama mlango wa toi nikajisemea hivi ni hizi bia mbili tuuuu au kuna mengine, kweli???? Bia mbili!!! Yani lita moja tu ya bia ila susu lita kumi.....hapana sinywi tena bia.

Kwaheri ya kuonana
View attachment 3206599

Mbadala wa bia nini naweza kunywa, msintajie vinywaji vyenye price tag mshahara wangu, yani salary laki mbili kinywaji laki mbili hapana labda ninunuliwe.

Sijaacha pombe nimeacha bia.

Walevi wote peponi 🄰
unakunywa bia gani? tuanzie hapo
 
Mkuu nunua wine ile ya Dodoma dumu la lita tano uwe unakunywa taratibu.
 
Mirinda nyeusi inaniita.....

kwakweli kuna muda bia huwa inakera ikiamsha hangover unaapa kuiacha mwili ukipoa unarudia tena, siku ya juzi na jana bia imenikera sanaa, leo mimi na bia basi. šŸ‘‹

Shida imeanza sijanywa kitambo hata miezi miwili imefika, juzi nkaona kama vile nmepata kiu ngoja nishtue kidogo ili niwe mtamu😁 mambo ya weekend.

Jamaniiiii nmekunywa bia mbili tu yani mbili tuuuuu nimesusu usiku kucha nimeamka zaidi ya mara nane....... Hadi kuna muda nimesimama mlango wa toi nikajisemea hivi ni hizi bia mbili tuuuu au kuna mengine, kweli???? Bia mbili!!! Yani lita moja tu ya bia ila susu lita kumi.....hapana sinywi tena bia.

Kwaheri ya kuonana
View attachment 3206599

Mbadala wa bia nini naweza kunywa, msintajie vinywaji vyenye price tag mshahara wangu, yani salary laki mbili kinywaji laki mbili hapana labda ninunuliwe.

Sijaacha pombe nimeacha bia.

Walevi wote peponi 🄰
Kisukari hicho
 
Piga nyagi haina hangover...... šŸ˜€
 
Life is for living, and we only live once
What's the so called life according to your terms of reference?
Is it si unit that your life terms , are you using facts, reality, beliefs, perception, attitude, mind frame, mindset, upbringing society, religion etc to define so called life. Please that question very careful
 
Acha tu kipenzi dunia ina siri nyingi mpaka nikinywa serengeti 8+ zinaanza kuwa sio siri tena,🤣🤣🤣kuna siku niliharibu sehemu nikazua tafrani
Hahahaha,, kipenzi usije kutoa Siri zetu za ndani🤣🤣
 
Back
Top Bottom