Kuanzia leo mimi sio Mkatoliki tena, wala kanisa lisinizike, liendee na ushoga wake

Kama Kanisa lingeruhusu Ushonga Basi Dunia ingesimama kwa muda....maana ungekuwa ni mstuko wa Dunia nzima na ungedumu Kwa miezi sita .....
 
hivi kuna dini inaongoza kwa ushoga na kufukuana tope kama nyie??? katika magay 10 bhasi muslim 8
 
Sawa Mkuu tumekusikia.

BARIKIWA SANA MTUMISHI.

KaziKweliKweli/JobTrueTrue
 
mimi nshawakataa kitambo sana\11
 
Hakuna Mungu watatu… Mungu Ni mmoja aliyezifanya mbingu na ardhi. Kasome sala ya Nasadiki.
Utamkuta Mungu tunayemwamini pamoja na branches zake Mungu..
Depal uko vyedi kwenye ukatukumeni na katekisimu.

Sio kwa nondo hizi! 😋😋😋
 
Kwann wasaidizi wake wanaruhusu haya lakini?
Ogopa propaganda .......

Kukubali huo ujinga maana yake .....Canon Laws kuhusu ndoa na familia imebadilishwa kitu ambacho ni kigumu...
Kwamba Catechism imebadilishwa, kitu ambacho hakiwezekani ........

Epuka Propaganda
 
Huko ndio atapotea kabisa.
 
Nimependa msimamo wako!Mungu na akupe Nuru zaidi,Luka 4:16,Kutoka 20:8_17
 
Baada ya kuwa na maswali mengi kuhusu ukatoliki niliyokosa majibu niliamua kuachana nao
 
Wimbi la uhamaji ni kubwa sana, sio wew tu.

Maana hawa mapapa washaanza kuligeuza kanisa kuwa kilinge cha washenzi.
 
Karibu kwenye dini ya haki bado hujachelewa.
 
Hapa ndio utaamini kuwa dini ni fix ya mzungu na mwarabu. Hakuna ukweli wowote katika dini.
 
Karibu kwenye nuru ya Allah.

Rudi kwenye Uislam.
 
Pope drag the catholic church to the 21th century hii transition unaweza kuwa zaidi kwenye angle ya madhara makubwa wanaopata watu wanaoshiriki mahusiano ya jinsia moja ndani ya jamii inayowazunguka.

Pope hajawahi ruhusu mapenzi ya jinsia moja, au kufungisha ndoa watu wa jinsia moja.

Inahit
 
Papa amejidhihirisha kabisa kwamba yeye ndiye ampingaye Kristo
Uliingia Ukatoliki kwaajili ya Papa? Kuna mapapa zaidi ya 200 walikalia hicho kiti anachokalia Papa Francis.
Sio wote waliofata mafundisho ya Biblia, wengine walikua mamluki.
 
Kupanga Ni Kuchagua
Kila Mtu Atauchukua Mzigo Wake Mwenyewe Siku Ile Inakuja
 
Mpinga kristo atatoka katika kanisa katoliki
Mwanzoni ataonekana kama mwanakondoo lakini kumbe siyo

Hauwezi kuongozwa na kipofu ukawa salama
Tokeni kati yao mkatengwe nao
Wasabato Bana...........mna lugha zenu flan hivi rahisi kuwa-spot
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…