Duh!, pole sana!. Mimi nilikuwa nikilewa zinanituma vibaya, zinashuka, hivyo najikuta lazima nisake msosi wa kushushia, matokeo yake nikawa ni mtu wa kula kula, na kama ni kupoteza fedha ni zile pesa za kulipia huduma za misosi na kama msosi ni mtamu sana na nilipokula nimefaudu, huwa natoa tip ya maana ya kumshukuru, na siku nikirudi maeneo hayo, namtafuta tena huyo mpishi nile tena na tena.
Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? kwenye hayo mengineyo baada pombe ndiko pesa zangu zilikoteketea lakini sio kwa kununua pombe.
P