Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

Hello Jamiiforums

Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.

Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.

Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.

Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.

Salaam Jamiiforums
Hongera kwa Uamuzi huo, Mungu akutangulie katika maisha yako bila pombe.
 
Sijui mnaanzaje kunywa pombe... Haya sasa miaka yote hiyo c umekunywa bwawa zima...
 
Sawa umefanya maamuzi sahihi

Pombe sio nzuri Sana ukiweza punguza au acha kabisa.
 
Hello Jamiiforums

Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.

Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.

Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.

Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.

Salaam Jamiiforums
Hongera sana, Kwa kufanya uamuzi wa busara sana wa kuachana na pombe.

Mungu akubariki
 
Hello Jamiiforums

Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.

Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.

Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.

Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.

Salaam Jamiiforums
Anza kubadilisha jina lako kwanza from Jack Daniel to....
 
Ubarikiwe sana
Ukiondoa dini ya Islamic na walikole, sisi Wakatoliki divai ni ibada, huo ndio muujiza wa kwanza wa Bwana wetu Yesu Kristo aluoufanya kwenye harusi ya Kana, aligeuza maji kuwa divai safi, hivyo sisi tunapiga divai
Tunaipiga kama sehemu ya ibada.

Pombe ukiinywa kidogo is good for you health ila ukizidisha ndio mbaya, unanaweza kunywa ili uchangamke ila usilewe.

Na kuna mambo fulani ukiyafanya under the influence of alcohol, you enjoy more. Enzi za ujana mimi na house mate wangu, tuligundua kuna wadada wengi, huwa wana ... lakini hawajawahi ..., kileleni due to inhibitions, ukiwapiga pombe kidogo, kabla hamja..., mki ... ni kitonga fasta!, hivyo pombe kidogo kwenye baadhi ya mambo ni muhimu.
P
Pasco, unashawishi sana mkuu!
 
Back
Top Bottom