Jack Daniel
JF-Expert Member
- Sep 23, 2021
- 2,912
- 12,904
- Thread starter
- #41
Hao nilifanikiwa kuwaacha muda mrefuUacha na mademu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hao nilifanikiwa kuwaacha muda mrefuUacha na mademu
kwa nini? kwani umezaliwa mleviSijui niseme nini, ila kuacha pombe ni jaribu kubwa mno.
Baada ya miaka 24 , rudi utueleze ulipofikia upande huo ulioamua kuhamiaHello Jamiiforums
Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.
Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.
Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.
Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.
Salaam Jamiiforums
Ubarikiwe sanaHello jamiiforum
Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.
Tafuta hela pombe unaachaje kizembe [emoji16]Hello Jamiiforums
Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.
Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.
Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.
Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.
Salaam Jamiiforums
Ukilewa unatukana Sele, uko kama una laana Sele......afazari tupumzikeHello Jamiiforums
Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.
Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.
Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.
Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.
Salaam Jamiiforums
Sasa zinaa inahusikaje hapo😌Nakuombea ushinde.
Ulevi na zinaa vinaondoa fahamu
Na avatar ukaweka kabisa 😂😂Acha mkuu pombe haina maana
Vinywaji ni vingi mno mzeeSasa ukiacha pombe, utakua unakunywa nini mazee...🤔
Ni Vyema Na Haki kabisa. Kunywa kidogo lkn usilewe!Ubarikiwe sana
Ukiondoa dini ya Islamic na walikole, sisi Wakatoliki divai ni ibada, huo ndio muujiza wa kwanza wa Bwana wetu Yesu Kristo aluoufanya kwenye harusi ya Kana, aligeuza maji kuwa divai safi, hivyo sisi tunapiga divai
Tunaipiga kama sehemu ya ibada.
Pombe ukiinywa kidogo is good for you health ila ukizidisha ndio mbaya, unanaweza kunywa ili uchangamke ila usilewe.
Na kuna mambo fulani ukiyafanya under the influence of alcohol, you enjoy more. Enzi za ujana mimi na house mate wangu, tuligundua kuna wadada wengi, huwa wana ... lakini hawajawahi ..., kileleni due to inhibitions, ukiwapiga pombe kidogo, kabla hamja..., mki ... ni kitonga fasta!, hivyo pombe kidogo kwenye baadhi ya mambo ni muhimu.
P
Mkuu nashukuru vipo visa vingi vinavyosababisha nikatae pombe na vilinikuta mara nyingi kama kuibiwa kupoteza vifaa vya ofisi na kadhalika.Ubarikiwe sana
Ukiondoa dini ya Islamic na walikole, sisi Wakatoliki divai ni ibada, huo ndio muujiza wa kwanza wa Bwana wetu Yesu Kristo aluoufanya kwenye harusi ya Kana, aligeuza maji kuwa divai safi, hivyo sisi tunapiga divai
Tunaipiga kama sehemu ya ibada.
Pombe ukiinywa kidogo is good for you health ila ukizidisha ndio mbaya, unanaweza kunywa ili uchangamke ila usilewe.
Na kuna mambo fulani ukiyafanya under the influence of alcohol, you enjoy more. Enzi za ujana mimi na house mate wangu, tuligundua kuna wadada wengi, huwa wana ... lakini hawajawahi ..., kileleni due to inhibitions, ukiwapiga pombe kidogo, kabla hamja..., mki ... ni kitonga fasta!, hivyo pombe kidogo kwenye baadhi ya mambo ni muhimu.
P
Aliyekwambia kunywa pombe ni kumuacha Mungu ni naniHello Jamiiforums
Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.
Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.
Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.
Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.
Salaam Jamiiforums
Aanzie hapo kwanza ndo tutamuaminiVipi na jina utabadilisha au..?
hongera sana, haya ni maamuzi sahihi. Karibu kwenye ufalme.Hello Jamiiforums