Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

Nanina...acha kufananisha pombe na vitu vya kijinga! Kwenye harusi ya kana Yesu hakubadili maji kuwa Mirinda.
MIMI nimekuelewa Yesu alibadiri Maji kua Gambe ndio maana hio tamaduni mpaka kesho mazabauni katoriki Padre anagonga mvinyo mbele ya Waumini inaitwa Damu ya Yesu ni mvinyo ule sio Damu ya Yesu
 
Na ikikupendeza pia badili jina la ID yako maana inawakilisha brand name ya pombe
 
Mkuu nashukuru vipo visa vingi vinavyosababisha nikatae pombe na vilinikuta mara nyingi kama kuibiwa kupoteza vifaa vya ofisi na kadhalika.

Kubwa zaidi jana nimepoteza milioni themanini na saba cash nilizokuwa nataka leo niende nazo kwenye mitikasi yangu ya mbao Kuna mzigo nilitaka kwenda kununua aisee,my God please help me Mimi ni mja wako najua nakosea mengi
umepotezaje kiasi kikubwa hivi?
 
Umeongea point na kuchagua maamuzi sahihi ila wasiwasi wangu umeandika ukiwa na akili zako au tayar ndio upo maeneo vitu vipo kichwan ukashusha Uzi? Maana akili ya pombe anaijua vzr TX DULLA 🤣🤣🤣
 
MIMI nimekuelewa Yesu alibadiri Maji kua Gambe ndio maana hio tamaduni mpaka kesho mazabauni katoriki Padre anagonga mvinyo mbele ya Waumini inaitwa Damu ya Yesu ni mvinyo ule sio Damu ya Yesu
HAIKUA POMBE SIO KILA DIVAI NI POMBE KWANI MAHINDI NI POMBE? LAKINI MTU AKIAMUA KUTENGENEZA POMBE KWA KUTUMIA MAHINDI SI INAWEZEKANA!

KWA HIYO DIVAI AU MVINYO SIO ZOTE NI POMBE BALI KAMA ZIMECHACHULIWA ZIWE POMBE NDIO ZINAKUWA POMBE.
 
Umeongea point na kuchagua maamuzi sahihi ila wasiwasi wangu umeandika ukiwa na akili zako au tayar ndio upo maeneo vitu vipo kichwan ukashusha Uzi? Maana akili ya pombe anaijua vzr TX DULLA 🤣🤣🤣
Niko sawa kaka,nilipigwa tukio Jana hata Hanson choice niliyokunywa ilikata baada ya kushtuka begi silioni
 
Niko sawa kaka,nilipigwa tukio Jana hata Hanson choice niliyokunywa ilikata baada ya kushtuka begi silioni
😂😂😂😂 Pole sana na hongera pia Mungu Huwa ana mifumo yake ya kudeal na mambo kitaalamu tunaita Mungu nyuma ya mambo ,
hapo ni Mungu alikuwa nyuma ya jambo ili kuhakikisha anakusogeza anapotaka
Mshukuru Mungu umepoteza bag ukafanya maamuzi ya kurudi kwake ,ambapo Hizo pesa kwasb Bado uhai unao utazitafuta ipo siku zitarud zaidi ya hizo.

Wapo waliopoteza uhai baada ya kutoka kulewa wakapata ajali

Wapo wanaorudi kwake baada ya kupoteza Malinda mtu kalewa wahuni wanamlawiti ,

wapo wanaopoteza viungo mtu kalewa anaanzisha ugomvi anapigwa Hadi kuvunjika miguu n.k

Yote ya yote kongore umechagua fungu jema na hutojutia kama utajipa muda wa kumuuliza vzr Mungu kwann umetumia njia hii Ili niache unataka nifanye Nini sasa then atakupa go ahead ambayo lazima nina uhakika utakuja kuleta Uzi mwingine siku za mbeleni🙏
 
Umeongea point na kuchagua maamuzi sahihi ila wasiwasi wangu umeandika ukiwa na akili zako au tayar ndio upo maeneo vitu vipo kichwan ukashusha Uzi? Maana akili ya pombe anaijua vzr TX DULLA 🤣🤣🤣
Walevi wote wakiwa kwenye hangover huwa wanadai wameacha pombe , ngoja wapate supu ya kongoro zipite kama siku tatu ndio utawajua walikua wanatania tu.
 
Hello Jamiiforums

Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.

Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.

Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.

Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.

Salaam Jamiiforums
Mungu akuwezeshe kushinda pombe na tamaa nyingine za mwili na ukamtumikie kwa furaha. Shambani mwa Bwana mavuno ni mengi wavunaji ni wachache. Enenda ukawe mtumishi mwema Shambani mwa Mungu.
 
Subiri upate hela utajua hujui. Saa hizi umeishiwa unapata mawazo mazuri kabisa, subiri madili yatiki utajishangaa kwa kauli yako hii
 
Hello Jamiiforums

Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.

Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.

Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.

Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.

Salaam Jamiiforums
MUNGU amehusika vipi hapo wakati yeye mwenyewe amesema kunywa usahau shida zako …… pia umedanganya kwakusema hujaona faida yeyote serious? Au mmi ndo cjajua labda nikulize umeacha kunywa pombe gani
 
HAIKUA POMBE SIO KILA DIVAI NI POMBE KWANI MAHINDI NI POMBE? LAKINI MTU AKIAMUA KUTENGENEZA POMBE KWA KUTUMIA MAHINDI SI INAWEZEKANA!

KWA HIYO DIVAI AU MVINYO SIO ZOTE NI POMBE BALI KAMA ZIMECHACHULIWA ZIWE POMBE NDIO ZINAKUWA POMBE.
Niambie divai moja ambayo Haina kilevi
Na kwanini kitu kisicho na kilevi kiitwe divai?
Nazidi kusema ACHA UNAFIKI NA UONGO KWA KIVULI CHA ULOKOLE
 
YESU AKIAMUA UNAACHA TU KAMA ROHO YAKE INATESEKA NA KUMTAKA AACHE HUYU MDA SI MREFU ANAACHA MAANA WOKOVU UNAMUITA
Namjua vizuri hawezi acha...tumemshauri sana lakini akikaa siku chache anakunywa zaidi ya juzi 😂
 
Back
Top Bottom