Mkwawe
JF-Expert Member
- Jun 10, 2016
- 3,132
- 5,508
Acha uongo na unafiki wapi Yesu alisema "ninachukizwa na mtu mlevi"?YESU MWENYEWE ANACHUKIZWA NA MTU MLEVI
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Acha uongo na unafiki wapi Yesu alisema "ninachukizwa na mtu mlevi"?YESU MWENYEWE ANACHUKIZWA NA MTU MLEVI
MIMI nimekuelewa Yesu alibadiri Maji kua Gambe ndio maana hio tamaduni mpaka kesho mazabauni katoriki Padre anagonga mvinyo mbele ya Waumini inaitwa Damu ya Yesu ni mvinyo ule sio Damu ya YesuNanina...acha kufananisha pombe na vitu vya kijinga! Kwenye harusi ya kana Yesu hakubadili maji kuwa Mirinda.
YESU AKIAMUA UNAACHA TU KAMA ROHO YAKE INATESEKA NA KUMTAKA AACHE HUYU MDA SI MREFU ANAACHA MAANA WOKOVU UNAMUITAUkifanikiwa kuacha pombe niitwe mbwa!
Niko hapa
umepotezaje kiasi kikubwa hivi?Mkuu nashukuru vipo visa vingi vinavyosababisha nikatae pombe na vilinikuta mara nyingi kama kuibiwa kupoteza vifaa vya ofisi na kadhalika.
Kubwa zaidi jana nimepoteza milioni themanini na saba cash nilizokuwa nataka leo niende nazo kwenye mitikasi yangu ya mbao Kuna mzigo nilitaka kwenda kununua aisee,my God please help me Mimi ni mja wako najua nakosea mengi
Anza kubadilisha jina lako kwanza from Jack Daniel to.
Acha tu mkuu ,hapa nasikia baridi hata kula sijisikiiumepotezaje kiasi kikubwa hivi?
HAIKUA POMBE SIO KILA DIVAI NI POMBE KWANI MAHINDI NI POMBE? LAKINI MTU AKIAMUA KUTENGENEZA POMBE KWA KUTUMIA MAHINDI SI INAWEZEKANA!MIMI nimekuelewa Yesu alibadiri Maji kua Gambe ndio maana hio tamaduni mpaka kesho mazabauni katoriki Padre anagonga mvinyo mbele ya Waumini inaitwa Damu ya Yesu ni mvinyo ule sio Damu ya Yesu
Niko sawa kaka,nilipigwa tukio Jana hata Hanson choice niliyokunywa ilikata baada ya kushtuka begi silioniUmeongea point na kuchagua maamuzi sahihi ila wasiwasi wangu umeandika ukiwa na akili zako au tayar ndio upo maeneo vitu vipo kichwan ukashusha Uzi? Maana akili ya pombe anaijua vzr TX DULLA 🤣🤣🤣
😂😂😂😂 Pole sana na hongera pia Mungu Huwa ana mifumo yake ya kudeal na mambo kitaalamu tunaita Mungu nyuma ya mambo ,Niko sawa kaka,nilipigwa tukio Jana hata Hanson choice niliyokunywa ilikata baada ya kushtuka begi silioni
Anafikiri pombe ina Achwa kizembe hivyo 😆😆😆Ukifanikiwa kuacha pombe niitwe mbwa!
Niko hapa
Walevi wote wakiwa kwenye hangover huwa wanadai wameacha pombe , ngoja wapate supu ya kongoro zipite kama siku tatu ndio utawajua walikua wanatania tu.Umeongea point na kuchagua maamuzi sahihi ila wasiwasi wangu umeandika ukiwa na akili zako au tayar ndio upo maeneo vitu vipo kichwan ukashusha Uzi? Maana akili ya pombe anaijua vzr TX DULLA 🤣🤣🤣
Mungu akuwezeshe kushinda pombe na tamaa nyingine za mwili na ukamtumikie kwa furaha. Shambani mwa Bwana mavuno ni mengi wavunaji ni wachache. Enenda ukawe mtumishi mwema Shambani mwa Mungu.Hello Jamiiforums
Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.
Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.
Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.
Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.
Salaam Jamiiforums
MUNGU amehusika vipi hapo wakati yeye mwenyewe amesema kunywa usahau shida zako …… pia umedanganya kwakusema hujaona faida yeyote serious? Au mmi ndo cjajua labda nikulize umeacha kunywa pombe ganiHello Jamiiforums
Kichwa cha habari kinajitosheleza, wadau na wanywaji wa pombe wote najua tumekuwa tukikutana sehemu tofauti tofauti ili kupoza mioyo (kumwagilia moyo) huku tukiipa miili yetu pole kwa kujipongeza kama ushindi kwenye mishe zetu.
Kinywaji hiki maarufu Duniani chenye shepu na ladha tofautitofauti huku kikiwa na ushawishi wa kipekee, natangaza kuacha rasmi na kuianza ibada.
Kwasababu kwa takiribani miaka 24 nakunywa pombe na sijaona faida zake. Kwa wale wote niliowakosea pindi natumia pombe nawaomba mnisamehe.
Natangaza msimamo huu Leo 27/7/2024 huku nikimuomba Mungu aniongoze katika njia sahihi.
Salaam Jamiiforums
Huyu huyu aliybadili maji kwenda kqenye divai tena ni muujiza wake wa kwanza?YESU MWENYEWE ANACHUKIZWA NA MTU MLEVI
Niambie divai moja ambayo Haina kileviHAIKUA POMBE SIO KILA DIVAI NI POMBE KWANI MAHINDI NI POMBE? LAKINI MTU AKIAMUA KUTENGENEZA POMBE KWA KUTUMIA MAHINDI SI INAWEZEKANA!
KWA HIYO DIVAI AU MVINYO SIO ZOTE NI POMBE BALI KAMA ZIMECHACHULIWA ZIWE POMBE NDIO ZINAKUWA POMBE.
Namjua vizuri hawezi acha...tumemshauri sana lakini akikaa siku chache anakunywa zaidi ya juzi 😂YESU AKIAMUA UNAACHA TU KAMA ROHO YAKE INATESEKA NA KUMTAKA AACHE HUYU MDA SI MREFU ANAACHA MAANA WOKOVU UNAMUITA