Kuanzia leo naacha pombe na namrudia Mungu

Kwani kuna shida gani ukuenda mbele za Nungu na maoinbe yako?
 
Kubwa zaidi jana nimepoteza milioni themanini na saba cash nilizokuwa nataka leo niende nazo kwenye mitikasi yangu ya mbao Kuna mzigo nilitaka kwenda kununua aisee,my God please help me Mimi ni mja wako najua nakosea mengi
Duh!, pole sana!. Mimi nilikuwa nikilewa zinanituma vibaya, zinashuka, hivyo najikuta lazima nisake msosi wa kushushia, matokeo yake nikawa ni mtu wa kula kula, na kama ni kupoteza fedha ni zile pesa za kulipia huduma za misosi na kama msosi ni mtamu sana na nilipokula nimefaudu, huwa natoa tip ya maana ya kumshukuru, na siku nikirudi maeneo hayo, namtafuta tena huyo mpishi nile tena na tena. Uliwahi kula vyakula gani kutoka sehemu mbalimbali Duniani ukafaidi? kwenye hayo mengineyo baada pombe ndiko pesa zangu zilikoteketea lakini sio kwa kununua pombe.
P
 
Niambie divai moja ambayo Haina kilevi
Na kwanini kitu kisicho na kilevi kiitwe divai?
Nazidi kusema ACHA UNAFIKI NA UONGO KWA KIVULI CHA ULOKOLE
HIZI HAPA MIMI SIO MUONGO YESU AKUFUNGUE FAHAMU boss

PIA KWENYE POMBE ZA MAHINDI KABLA HAIJAWA POMBE HUWA YALE MAUJI YANAITWA TOGWA HUWA HAYALEWESHI HATA UNYWE DEBE
 
Attachments

  • Screenshot_20240727-133620.jpg
    359.8 KB · Views: 2
Nim
Nimetumia elfu 38000 tena kwa lipa namba sikutaka kuigusa ile cash ilikuwa kama kuikaribisha weekend chaajabu nilijikuta nimelewa kupita kiasi na kuomba msaada mtu anitolee gari kwenye parking ikiwa simjui sijui nilipatwa na nini kuja kustuka begi silioni . I hate, I hate I hate haya madudu nashindwa nafanya nini
 
HIZI HAPA MIMI SIO MUONGO YESU AKUFUNGUE FAHAMU boss

PIA KWENYE POMBE ZA MAHINDI KABLA HAIJAWA POMBE HUWA YALE MAUJI YANAITWA TOGWA HUWA HAYALEWESHI HATA UNYWE DEBE
Togwa Haina uhusiano hata kidogo na pombe, togwa ni kitu kingine kabisa

Yaani kitu kikishaitwa pombe au divai hakiwezi kukosekana kileo hata kidogo
 
HIZI HAPA MIMI SIO MUONGO YESU AKUFUNGUE FAHAMU boss

PIA KWENYE POMBE ZA MAHINDI KABLA HAIJAWA POMBE HUWA YALE MAUJI YANAITWA TOGWA HUWA HAYALEWESHI HATA UNYWE DEBE
Togwa Haina uhusiano hata kidogo na pombe, togwa ni kitu kingine kabisa

Yaani kitu kikishaitwa pombe au divai hakiwezi kukosekana kileo hata kidogo View attachment 3053694
 
Na mimi nafuata mkumbo. Ila next week. Sio this week
 
Nimeacha mwezi wa sita mwanzoni nikienda bar nagida pepsi najiona kama mshamba fulani. Halafu soda kupiga kwa muda mrefu mishosho tu.
Ukiwa umekaa bila kunywa unaonekana mchoraji tu.
 
Kwani mungu ana ugomvi na pombe?
 
Nilijisemea hvyo last week baada ya kufululiza siku tatu bila kupumzika, niliamka kama najihisi kufakufa.

Ila leo nahisi kama nitasaliti maamuzi yangu.
Wewe upo kama Mimi naweza apa kabisa kuacha ila ikipita wiki mbili mwili ukiludi kwenye hali yake naludia tena😁😭😭
 
Mimi jana nimepoteza iphone 13 pro kwaajili ya pombe wallhii namimi naacha pombe rasmi huuniufala
Walevi wote wakiwa kwenye hangover huwa wanadai wameacha pombe , ngoja wapate supu ya kongoro zipite kama siku tatu ndio utawajua walikua wanatania tu.
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tupe mrejesho
Unaendeleaje na maamuzi yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…