Kuanzia leo natangaza rasmi Kuwachukia na Kuwalaani Wanasiasa Wote wa Upinzani nchini kwa sababu zangu zifuatazo

Kimsingi huko Ikulu kaenda kama Mbowe na sio kwa kushauriana na chama chake. Muda aliotoka magereza mpaka muda alioenda ikulu sidhani kama alijadiliana ama kushauriana na uongozi wa chama chake. Mimi binafsi nimekwazika sana Mbowe kwenda ikulu, tena chini ya 24hrs toka atoke jela. Kwakuwa ameshaeenda hatuna jinsi ya kuzuia hilo kwani maji yameshamwagika. Cha muhimu ni kuwa macho na yeye kuanzia sasa, akianza siasa za kujipendekeza tu tunampotezea kama wahuni wengine.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Chadema mnaishi kwa stress sana!

Linatoka hili linaingia hili.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Tunaishi kwa stress wakati tuko huku jf zaidi ya miaka 10 na msimamo wetu ni huu huu? Ww labda ndio unapagawa na chama la wana.
 
Sababu Nina AKILI HURU.
ndo maana haunielewi.
Sio wewe tu hata ndugu zangu
Kwani kuwa ccm ni mpaka utuambie ww, sisi tunatazama michango yako tunajua uko wapi. Tukuone na mimba kisha useme ww sio mwanamke wala mwanaume!
 
Tunaishi kwa stress wakati tuko huku jf zaidi ya miaka 10 na msimamo wetu ni huu huu? Ww labda ndio unapagawa na chama la wana.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti chama la wana!

Wana wapi? Mwenyekiti anakaa ndani miezi 8 na wana wamekaa kimya tu??

Ndio maana kaona bora aende kusalimu kwa Hangaya maana wana hawajielewi.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
Sababu Nina AKILI HURU.
ndo maana haunielewi.
Sio wewe tu hata ndugu zangu

Ni hivi, binadamu yoyote kuna namna anajijua, na kuna namna watu wanamjua, hatuna tatizo na namna unavyojijua, lakini usitulazimishe tukujue utakavyo ww. Huna akili hizo wala uhuru huo wa mawazo unaodhani unao. Ww ni wa kawaida sana boss. Na hao ndugu zako sio kwamba hawakuelewi, bali wamekupuuza au wanakuheshimu kinafiki maana huenda ukawa na vijisenti vya kubadili mboga kutokana na ajira yako serekalini. Siku ukistaafu ndio utajua uhalisia wako, hapo ndio utajua hujui.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eti chama la wana!

Wana wapi? Mwenyekiti anakaa ndani miezi 8 na wana wamekaa kimya tu??

Ndio maana kaona bora aende kusalimu kwa Hangaya maana wana hawajielewi.

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Kwani alipokuwa KUB uliona watu wakienda naye bungeni, mpaka ushangae hivi sasa watu wakitulia wakati alipokuwa ndani? Watu walikuwepo mahakamani muda wote na wametoa ushirikiano stahiki, ulitaka kupi ya zaidi ya hicho? Kwani ww umezikwa na dhalimu kaburi moja kwakuwa ulikuwa unamsujudia ili tujue ulikuwa naye?
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!
Kama unatumia hisia badala ya akili kufsnya Siasa,utaumia sana,wewe Bado hujakomaa,kwenye ulimwengu huu,utakiwi kuwa na akili mgando na huwezi kuwa na adui au rafiki wa kudumu.
Nikurudishe kwenye historia,kama unamtusi Mbowe leo kwa kushirikiana na ccm,je Nyerere aliyefukuza wazungu,lakini jeshi lilipo hasi na kutaka kumpindua,ilibidi arudi kwa wazungu kuwapigia magoti,je Mandela aliyefungwa miaka 27 lakini alipotoka Ilibidi ashilikiane nao wazungu kujenga nchi,
Komaa kidogo jombaa,Siasa sio hivyo,acha hisia,angalia the big picture
 
ndo maana nimekwambia hauwezi kunielewa.
simu ya mbowe ilikutwa na mawasiliano na urio,akawa anamtumia meseji na miamala
unataka nimtetee vipi mbowe?
Na mahakama ikamkuta Ana kesi ya kujibu?
Mimi uwa sifuati mkumbo Wala ushabiki wa kisiasa
Ni hivi, binadamu yoyote kuna namna anajijua, na kuna namna watu wanamjua, hatuna tatizo na namna unavyojijua, lakini usitulazimishe tukujue utakavyo ww. Huna akili hizo wala uhuru huo wa mawazo unaodhani unao. Ww ni wa kawaida sana boss. Na hao ndugu zako sio kwamba hawakuelewi, bali wamekupuuza au wanakuheshimu kinafiki maana huenda ukawa na vijisenti vya kubadili mboga kutokana na ajira yako serekalini. Siku ukistaafu ndio utajua uhalisia wako, hapo ndio utajua hujui.
 
Mmeshachelewa na anaenda Kuteuliwa kuwa Mbunge na upo uwezekano hata akapewa Uwaziri ili kuionyesha dunia ( Kinafiki ) kuwa Wanasiasa wa Tanzania ( wa Chama Tawala CCM na Upinzani ) wanaelewana, wanapendana na wana Ushirikiano mkubwa tofauti na inavyoripotiwa.

Tunza / Tunzeni hii post yangu tafadhali.

Narudia tena, akianza kujikomba basi ajue hatuko naye tena. Apewe hata cheo cha urais acha ubunge, lakini msimamo wetu ni bayana, ukishirikiana na miccm hauko na sisi.
 
ndo maana nimekwambia hauwezi kunielewa.
simu ya mbowe ilikutwa na mawasiliano na urio,akawa anamtumia meseji na miamala
unataka nimtetee vipi mbowe?
Na mahakama ikamkuta Ana kesi ya kujibu?
Mimi uwa sifuati mkumbo Wala ushabiki wa kisiasa

Mbowe alikuwa tayari kujitetea na wala hajaomba kesi itolewe Mahakamani. Kama kukutwa kwa miamala kwenye simu ya Mbowe na mtu mwingine ni ugaidi, fanya utaratibu ufungue kesi nyingi, maana miamala na sms katumia watu wengi sana mpaka sasa. Mahakama kumkuta na kesi ya kujibu ilikuwa ni lazima maana ndio maelekezo alikuwa anapewa jaji wa mchongo. Hata kumfunga angemfunga ila sio kwa ushahidi bali kwa maagizo ya system.

Hakuna popote huyo Mbowe anataka utetezi wako bwana kingai, ww endelea kubambikia watu wengi kesi uwezavyo ili upate hela za kupunguza umasikini huko kwenu, lakini tambua hizo ndumba unazotegemea iko siku zitaexpire.
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!
Wewe si ni mfuasi sugu wa Gwaji boye? Sasa unahangaika nini na wapinzani.
 
1. Ni Majuha

2. Ni Wanafiki

3. Ni Waongo

4. Ni Waoga

5. Ni Wapenda Maslahi Binafsi

6. Wana Uwendawazimu wasioujua

7. Hawajiamini na ni Wachuuza Watu

Kuanzia leo naiombea CCM kwa Mwenyezi Mungu iendelee Kutawala nchini Tanzania mpaka pake Dunia itakapobadilika na nawaombeni Laana mbaya Wapinzani wote Tanzania.

Yaani Wewe Umeteswa, Umehangaishwa, Umesingiziwa, Umetishwa, Umefilisiwa na Umechafuliwa vya kutosha halafu unatoka Matesoni hata Kwako hujaenda haraka haraka unaenda Kujipendekeza kwa Waliokuchafua na Kukuumiza huku kila mara ukiongea kwa Kukunja mikono yako Kiuwoga na Ukitukenelia tu mimeno na kuahidi Ushirikiano.

Kuna Mtu nilimheshimu ila Kanikera!!!!

Ndiyo siasa hizo. Hata Mandela alivyotoka jela alienda kukutana na kaburu DeClark wakashikana mikono na kukenuliana.
 
Kwani alipokuwa KUB uliona watu wakienda naye bungeni, mpaka ushangae hivi sasa watu wakitulia wakati alipokuwa ndani? Watu walikuwepo mahakamani muda wote na wametoa ushirikiano stahiki, ulitaka kupi ya zaidi ya hicho? Kwani ww umezikwa na dhalimu kaburi moja kwakuwa ulikuwa unamsujudia ili tujue ulikuwa naye?
Dhalimu alishamaliza ukurasa wake hapa duniani!

Vipi kwa gaidi?

Mtu kakaza fuvu weeee, mwisho wa siku kajipeleka mwenyewe!

Lakini hii yote inatokana na wanajiita wana wake kujificha nyuma ya keyboard wakayi yuko rumande

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app
 
mbowe hajaomba kesi itolewe.
Ila alipotolewa akaenda IKULU kushukuru?
Acheni utoto.
uwa mnajitoa sana ufahamu.
Mbowe alikuwa tayari kujitetea na wala hajaomba kesi itolewe Mahakamani. Kama kukutwa kwa miamala kwenye simu ya Mbowe na mtu mwingine ni ugaidi, fanya utaratibu ufungue kesi nyingi, maana miamala na sms katumia watu wengi sana mpaka sasa. Mahakama kumkuta na kesi ya kujibu ilikuwa ni lazima maana ndio maelekezo alikuwa anapewa jaji wa mchongo. Hata kumfunga angemfunga ila sio kwa ushahidi bali kwa maagizo ya system.

Hakuna popote huyo Mbowe anataka utetezi wako bwana kingai, ww endelea kubambikia watu wengi kesi uwezavyo ili upate hela za kupunguza umasikini huko kwenu, lakini tambua hizo ndumba unazotegemea iko siku zitaexpire.
 
Dhalimu alishamaliza ukurasa wake hapa duniani!

Vipi kwa gaidi?

Mtu kakaza fuvu weeee, mwisho wa siku kajipeleka mwenyewe!

Lakini hii yote inatokana na wanajiita wana wake kujificha nyuma ya keyboard wakayi yuko rumande

Sent from my SM-T295 using JamiiForums mobile app

Gaidi wakati mmeweka mpira kwapani?_ Siku zote tuko hapa hapa jf, hata alipokuwa KUB uliwahi kutuona ndani ya lile VX lake mpaka ushangae hatukukaa naye jela? Kama ikulu unaweza kujipeleka mwenyewe, na ww jipeleke maana unapasujudia kwani unaamini ikulu ni mali ya CCM.
 
ndo maana nimekwambia hauwezi kunielewa.
simu ya mbowe ilikutwa na mawasiliano na urio,akawa anamtumia meseji na miamala
unataka nimtetee vipi mbowe?
Na mahakama ikamkuta Ana kesi ya kujibu?
Mimi uwa sifuati mkumbo Wala ushabiki wa kisiasa
Du! Kuna mitanzania mijinga sana, sijui inatumia nini kufikiri. Kwani simu ikiwa na mawasiliano na miamala ndio unakuwa gaidi?? Wewe simu yako haina mawasiliano na miamala?? Kama ipo wewe ni gaidi??

Hiyo akili ya kujichagulia jina haikuwa bule. Roho mtakatifu ilikuongoza kuchagua hilo jina
 
Back
Top Bottom