hazole1
JF-Expert Member
- Jan 3, 2015
- 4,319
- 3,916
Kwanza ifahamike toka zamani watu wafupi tunadharaulika sana na kwa kulitambua hilo mapema kabisa yesu alimtembelea mtu mfupi zakayo nyumbani kwake.
Na hiyo yote yesu alikuwa anataka kuwafuta machozi watu wafupi.
Pamoja na kufanya yote hayo lakini watu wafupi tumeendelea kudharaulika sana hasa afrika kwa sababu huku mm nimeona.
Na mara nyingi imekuwa ni kawaida kusikia mtu mrefu akimuambia mtu mfupi nyinyi watu wafupi hamna akili.
Na ndio maana mtu mfupi hata akigombea nafasi yoyote ya uongozi kushinda hiyi nafasi ya uongozi. mara chache sana hiyo yote ni kutokana mtu mfupi ni mtu aliye dharaulika.
Miaka na miaka.
Na kuna utamaduni ulio zoeleka hata ukiwa njiani unatembea sio rahisi mtu mrefu kuanza kumsalimia mtu mfupi na hata kama amekukuta na hiyo yote ni kwa sababu mtu mrefu anajiona yeye ni bora zaidi kuliko mtu mfupi nayeye ndio anastahili kupewa heshima zote kwa sababu yeye ni mrefu.
Kuanzia leo na kuendelea lazima nisapoti kila kitu ambacho anafanya mtu mfupi.
Na kila kitu anchofanya fanya mtu mfupi lazima niwe upande wake. hata kama eneo lenyewe nipo akigombea mtu wa ccm mfupi na mtu wa chadema mrefu lazima nimpe kura yangu mtu wa ccm. hata kama mm ni chadema pure. kila sehemu ambayo atakuwepo
Mtu mfupi anafanya jambo flani kama eneo hilo nipo basi lazima niwe nyuma yake.
Sent using Jamii Forums mobile app