Kuanzia leo natangaza vita kwa watu wote wanaoo wanadharau watu wafupi.

hazole1

JF-Expert Member
Joined
Jan 3, 2015
Posts
4,319
Reaction score
3,916
Kwanza ifahamike toka zamani watu wafupi tunadharaulika sana na kwa kulitambua hilo mapema kabisa yesu alimtembelea mtu mfupi zakayo nyumbani kwake.
Na hiyo yote yesu alikuwa anataka kuwafuta machozi watu wafupi.

Pamoja na kufanya yote hayo lakini watu wafupi tumeendelea kudharaulika sana hasa afrika kwa sababu huku mm nimeona.

Na mara nyingi imekuwa ni kawaida kusikia mtu mrefu akimuambia mtu mfupi nyinyi watu wafupi hamna akili.
Na ndio maana mtu mfupi hata akigombea nafasi yoyote ya uongozi kushinda hiyi nafasi ya uongozi. mara chache sana hiyo yote ni kutokana mtu mfupi ni mtu aliye dharaulika.
Miaka na miaka.

Na kuna utamaduni ulio zoeleka hata ukiwa njiani unatembea sio rahisi mtu mrefu kuanza kumsalimia mtu mfupi na hata kama amekukuta na hiyo yote ni kwa sababu mtu mrefu anajiona yeye ni bora zaidi kuliko mtu mfupi nayeye ndio anastahili kupewa heshima zote kwa sababu yeye ni mrefu.

Kuanzia leo na kuendelea lazima nisapoti kila kitu ambacho anafanya mtu mfupi.
Na kila kitu anchofanya fanya mtu mfupi lazima niwe upande wake. hata kama eneo lenyewe nipo akigombea mtu wa ccm mfupi na mtu wa chadema mrefu lazima nimpe kura yangu mtu wa ccm. hata kama mm ni chadema pure. kila sehemu ambayo atakuwepo
Mtu mfupi anafanya jambo flani kama eneo hilo nipo basi lazima niwe nyuma yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah sawa mkuu geuza changamoto kuwa fursa watu wamekushauri anzisha chama cha watu wa fup maana ufupi umekua ukionekana kama kilema kwa baadh ya watu utasikia ah we mwana unataka kuoa ile mbegu ukome hapo anazungumziwa mtu mfupi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanza ifahamike toka zamani watu wafupi tunadharaulika sana na kwa kulitambua hilo mapema kabisa yesu alimtembelea mtu mfupi zakayo nyumbani kwake.
Na hiyo yote yesu alikuwa anataka kuwafuta machozi watu wafupi.

Pamoja na kufanya yote hayo lakini watu wafupi tumeendelea kudharaulika sana hasa afrika kwa sababu huku mm nimeona.

Na mara nyingi imekuwa ni kawaida kusikia mtu mrefu akimuambia mtu mfupi nyinyi watu wafupi hamna akili.
Na ndio maana mtu mfupi hata akigombea nafasi yoyote ya uongozi kushinda hiyi nafasi ya uongozi. mara chache sana hiyo yote ni kutokana mtu mfupi ni mtu aliye dharaulika.
Miaka na miaka.

Na kuna utamaduni ulio zoeleka hata ukiwa njiani unatembea sio rahisi mtu mrefu kuanza kumsalimia mtu mfupi na hata kama amekukuta na hiyo yote ni kwa sababu mtu mrefu anajiona yeye ni bora zaidi kuliko mtu mfupi nayeye ndio anastahili kupewa heshima zote kwa sababu yeye ni mrefu.

Kuanzia leo na kuendelea lazima nisapoti kila kitu ambacho anafanya mtu mfupi.
Na kila kitu anchofanya fanya mtu mfupi lazima niwe upande wake. hata kama eneo lenyewe nipo akigombea mtu wa ccm mfupi na mtu wa chadema mrefu lazima nimpe kura yangu mtu wa ccm. hata kama mm ni chadema pure. kila sehemu ambayo atakuwepo
Mtu mfupi anafanya jambo flani kama eneo hilo nipo basi lazima niwe nyuma yake.

Sent using Jamii Forums mobile app
We Jamaa kukaa nyuma ya MTU mfupi ni ubaasha..
 
Na tunacho shukuru sisi watu wafupi ni wavumilivu sana. ila tunataka tuache ile tabia ya kuwaabudu watu warefu.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hamna uvumilivu wowote, mna kisirani sana, hamjiamini kila kitu lazima mgombane ili muonekane mpo hata kama hakifai kubisha mtabisha tu kwa ubabe ndo maana mnadharaulika na kuonekana wajinga.
 
Najua haukizaliwa unawachukia watu wafupi ila ulijifunza kuwachukia watu wafupi kwa watu wengine na kwa sababu ww ni mrefu.

Kwa sababu ulijunza kuwachukia watu watu wafupi basi jifunze pia kuwapenda watu wafupi.
 
Back
Top Bottom