Abdul Mganyizi
JF-Expert Member
- Oct 28, 2019
- 1,042
- 2,005
Mpaka mwaka uuishe dadaangu utaandika nyuzi nyingi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilipe kwani mie mganga ??Mkuu lipia tangazo
USITAKE MAJNA YA WATU UWE NA HESHIMA NDIO MAANA UNADHIHAKiWA UHESHIMU WENZIOUnakuta mtu anakuja anashida ya kipepo na majini wachafu au kafungwa kiushirikina anakuja kama malaika pm anaomba msaada anapatiwa akishakuwa sawa.
Sasa anaanza kunirudia nakunidhihaki Kwa sana mie Malaya sijui Hili au lile walahi naapa pm yangu sintojibu mtu akiwa na magonjwa yake ayapeleke Kwa Mwaposwa.
Unataka kujipa umuhimu ambao hauna. Na unataka kuanza kutapeli watu eti wewe mgangaWewe siunamdomo na unakichaa kikiisha utakuja jua sio kila mtu ni mpuuzi kama wewe
.. ...........mmyaan kithekokakinyakyusaaaaMalaya tena........kwani tiba zako unatoa kwa njia gani hadi wakuite malaya..............nahis kama na mie nahitaji tiba
Na walengwa wote ninaowahisi hata wewe nakuhisiKumekucha
Nrushie moja la ofaUtajua ukishakumbwa na mashetani
ATI ANAITWA MALAYA KHA....MALAYA BILA KUOMBA UCHI. . Hapo umelikoroga mpwaaaa we sema ukweliUnataka kujipa umuhimu ambao hauna. Na unataka kuanza kutapeli watu eti wewe mganga
Biashara yakuuza govi za wanaume na ma"""""mbu yaliyochoka unayo tuongee bei??Huyu dada atakuwa pia anatafuta wateja. Kuna watu ukisema wewe malaya ndo wanakutafuta sana... Nadhani kuna biashara anafanya. So anatafuta sana attention.
Kwa hiyo weye ni mganga wa kienyeji?Unakuta mtu anakuja anashida ya kipepo na majini wachafu au kafungwa kiushirikina anakuja kama malaika pm anaomba msaada anapatiwa akishakuwa sawa.
Sasa anaanza kunirudia nakunidhihaki Kwa sana mie Malaya sijui Hili au lile walahi naapa pm yangu sintojibu mtu akiwa na magonjwa yake ayapeleke Kwa Mwaposwa.
Hapana mie hapanaKwa hiyo weye ni mganga wa kienyeji?