Kuanzia leo sintosaidia mtu humu

Kuanzia leo sintosaidia mtu humu

Ila shost una heka heka sana.. nini mbaya?

Em fanya tupande Marangu Fall kwanza ukarefresh mind.
 
Hili ni tangazo, lilipiwe! Huyu dada ndio yule tuliambiwa humu kaweka picha ya msambwanda ila live ni wa kawaida sn sio? Hebu msaidieni anahitaji wateja wamepungua kwa kazi ya 5G
 
Unakuta mtu anakuja anashida ya kipepo na majini wachafu au kafungwa kiushirikina anakuja kama malaika pm anaomba msaada anapatiwa akishakuwa sawa.

Sasa anaanza kunirudia nakunidhihaki Kwa sana mie Malaya sijui Hili au lile walahi naapa pm yangu sintojibu mtu akiwa na magonjwa yake ayapeleke Kwa Mwaposwa.
KA MA UNA UWEZO WA KUTOA MAJINI WAKIKUDHAHAKI SI UWARUDISHIE MAJINI YAOO
 
Lakini sijaandika wewe mganga ila umetangaza huwa unawasaidia watu...
Sasa mtu unamuonea huruma unamsaidia na akipona ndio dhihaki kamazote yanini Sasa umsaidie au usaidie watu kama hao
 
Back
Top Bottom