Kuanzia leo sintosaidia mtu humu

Ndoa ni scam au sio scam naombeni jibu moja la uhakika
 
1. Itakuwa umepandwa na malaria
2. Mwezi mchanga
3. Dege dege la Mimba
4. Kichaa cha Mimba
5. Afya ya akili changamoto
6. Sonona
7. Upweke
8. Kutafuta attention usiyo nayo
9. Kukosa boyfriend
10. Mwendawazimu.
 
USITAKE MAJNA YA WATU UWE NA HESHIMA NDIO MAANA UNADHIHAKiWA UHESHIMU WENZIO
KUWA MSTAARABU
 
Malaya tena........kwani tiba zako unatoa kwa njia gani hadi wakuite malaya..............nahis kama na mie nahitaji tiba
.. ...........mmyaan kithekokakinyakyusaaaa
 
Huyu dada atakuwa pia anatafuta wateja. Kuna watu ukisema wewe malaya ndo wanakutafuta sana... Nadhani kuna biashara anafanya. So anatafuta sana attention.
 
Unataka kujipa umuhimu ambao hauna. Na unataka kuanza kutapeli watu eti wewe mganga
ATI ANAITWA MALAYA KHA....MALAYA BILA KUOMBA UCHI. . Hapo umelikoroga mpwaaaa we sema ukweli
 
Huyu dada atakuwa pia anatafuta wateja. Kuna watu ukisema wewe malaya ndo wanakutafuta sana... Nadhani kuna biashara anafanya. So anatafuta sana attention.
Biashara yakuuza govi za wanaume na ma"""""mbu yaliyochoka unayo tuongee bei??
 
Reactions: EEX
Kwa hiyo weye ni mganga wa kienyeji?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…