Tukutane 2030!Endeleeeni kuota ndoto za mchana!! Ule uongozi wa Idd Amani tanzania ulishakoma!! Mungu mkubwa sana!!
2030 mechi itakuwa kali sana pale Ukonga... Mshaurini Jelly ahamie Segerea... La sivyo atafute kazi nyingine ya kufanya...Tukutane 2030!
Never on Earth!Watarudi uongozini wote uliowataja kwa sababu watahitajika 2025 kuipa CCM Ushindi wa 100%
Merry Christmas
Duuh! Huu bila shaka ni uzushi tu. Ila kama kweli ametoa kauli hii, basi atakuwa kaoga asali badala ya kuilamba.Mbowe: Tutaendelea na Maridhiano hata ikichukua miaka 10
Merry Christmas!
Viva JPM, wanasema kuna maendeleo wakati hali inazidi kuwa mbaya tunarudi nyuma zaidi umeme changamoto tena mwaka 2022, msimdanganye Bi Mkubwa hali ni mbaya sana na mnajua ila wavivu, wapiga madili mnafurahi kwa sasa, ila amini atakuja imara zaidi ya JPMWapiga madili huwa mnaona dhambi sana kuishi katika njia na namna za unyoofu. Sasa unakaa hapa unaandika matakataka hapa as if unawakilisha taifa zima kumbe unatoa maoni yako binafsi. Life ilivyokuwa ngumu hivi wewe unasema mambo yalikuwa magumu. Hivi wewe ni mzima kweli wewe?!
Siyo 2025 tena? Gia zishabadilishiwa angani?Tukutane 2030!
Mbowe na Zitto wamemaliza kaziDuuh! Huu bila shaka ni uzushi tu. Ila kama kweli ametoa kauli hii, basi atakuwa kaoga asali badala ya kuilamba.
2025 Katiba mpya itakuwa badoSiyo 2025 tena? Gia zishabadilishiwa angani?
Wewe utakuwa unaturusha roho tu. Weka ushahidi usiotiliwa mashaka hapaMbowe na Zitto wamemaliza kazi
Merry Christmas
Wewe unadhani kwanini Zitto Kabwe alimuombea msamaha mh Freeman Mbowe kwa Rais Samia kwenye uzinduzi wa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla?Wewe utakuwa unaturusha roho tu. Weka ushahidi usiotiliwa mashaka hapa
Huu siyo ushahidi bossWewe unadhani kwanini Zitto Kabwe alimuombea msamaha mh Freeman Mbowe kwa Rais Samia kwenye uzinduzi wa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla?
Endelea kusubiri hapo hapo mwenzako Lema ameshashtukaHuu siyo ushahidi boss
Usilolijua ni sawa na usiku giza! Rais wako wa 2030 to 2040 alishaandaliwa tayari! Anakomazwa tu sasa hv ajue uongozi bora ni upi na siyo Udikteta uchwara!!2025 Katiba mpya itakuwa bado
Acha na mm nijiridhishe kwanza, nitarudi kwako kutoa ushuhuda.Endelea kusubiri hapo hapo mwenzako Lema ameshashtuka
Hata Shujaa Magufuli aliandaliwa na mkuu Pascal Mayalla alitushtua mapema Kabisa, so kuandaliwa ni Utamaduni wa kawaida sana wa CCMUsilolijua ni sawa na usiku giza! Rais wako wa 2030 to 2040 alishaandaliwa tayari! Anakomazwa tu sasa hv ajue uongozi bora ni upi na siyo Udikteta uchwara!!
Safi sana!! Kumbe unajua sivyo!! Sasa the inner circle ilishaapa haitakaa irudie makosa ya kumuandaa kama shujaaHata Shujaa Magufuli aliandaliwa na mkuu Pascal Mayalla alitushtua mapema Kabisa, so kuandaliwa ni Utamaduni wa kawaida sana wa CCM
Akikusikia Mbowe atakucheka sanaSafi sana!! Kumbe unajua sivyo!! Sasa the inner circle ilishaapa haitakaa irudie makosa ya kumuandaa kama shujaa