Kuanzia mwaka 2015 hadi mwaka 2021 watanzania wengi tulikuwa hoi

Mleta post unataka kusema wananchi sasa hivi ndo wanakula mema ya nchi? Wewe ni mjinga ma mpumbavu kama yule aliyekutuma kuja kuandika huu upumbavu.
Mpumbafu na mjinga ni waliokuzalia kwenye mkesha wa mbio za mwenge
 
Wewe mwenyewe unaishia kushindia kashata na maji ya kandoro
 
Mkuu hivi ukiondoa hii sifa ya Tanzania ni nchi ya Amani, je ni kipi kingine ambacho Tanzania tumekifanya au tunakifanya kwa uhodari chenye kutambulika?
 
"Hitler na idd Amini walikuwa ni wabaya na chukizo ubaya wao tutautaja milele, tutaukumbuka uovu wao utaifundisha nchi na dunia"
-wema huweza kusahaulika lakini ubaya na uovu na ukatili huwa hausahauliki kamwe-
Hivi kwanini ni Idd Amini na Hitler unataka kusema Tanzania hii tumeshawahi kuwa na kiongozi aliye sawa na Idd Amini au Hitler?
 
Hivi kwanini ni Idd Amini na Hitler unataka kusema Tanzania hii tumeshawahi kuwa na kiongozi aliye sawa na Idd Amini au Hitler?
Safari huanza na hatua moja, hata Hitler alikuwa mwema lakini taratibu alibadilika na kufikia alipofikia hata Mobutu alikuwa mwema tu hata idd amini pia, Tanzania yetu mungu wetu hakupenda suala lifikie kwenye maturity.
 
Sawa ila hujasema kwa nini umfananishe huyo kiongozi wa Tanzania na hao watu? sijawahi kuona kiongozi mwengine Tanzania akifananishwa na hao watu.
 
Sawa ila hujasema kwa nini umfananishe huyo kiongozi wa Tanzania na hao watu? sijawahi kuona kiongozi mwengine Tanzania akifananishwa na hao watu.
Matendo tazama matendo, utamjuaje mtu kama ameokoka........
 
Matendo tazama matendo, utamjuaje mtu kama ameokoka........
Ndio hapo nilipopataka ni matendo gani hayo mliyotizama ambayo hakuna kiongozi mwengine yeyote aliwahi kuwa nayo Tanzania isipokuwa kiongozi huyo tu?
 
Jamaa walikuwa mafala sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…