Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
Mtarejeshwa 2025.Hahahahaha nasema hivi hatutoki n'goo hata wafanye nn watapga wataua kudadekiiii
2025 mbna mbali sana watatukazia november iLa mwez wa kwanza tunarudi tena kudadadeeeeeeekiMtarejeshwa 2025.
Mjini kwa tafsri ipi maana hata Geza ulole ni mjini.
Tunataka tafasri.
Kusema tuu hamtoki haisaidii, onyesheni kwamba hamtoki kwa kufungua kesi mahakamani kwa sababu kwa ninavyojua nchi hii hakuna sheria ya kuzuia mtanzania asitembelee mjini akiwa na pikipiki au bajaj. Hiki kinachodanyika ni uonevu tuu unaofanywa kupitia matamko ya hovyo hovyo.Hahahahaha nasema hivi hatutoki n'goo hata wafanye nn watapga wataua kudadekiiii
Itakuwa umekuja mjini Jana.Mjini ni wapi? Inaanzia wapi?
Hakuna sheria kama hiyo, maana ingekuwepo ungesikia zamani kabisa hizo marufuku, haya ni matangazo tuu kama lile tangazo la kuzuia mikutano ya vyama vya siasa.Hizi Sheria huwa zinapitishwa na taasisi/vikao gani?