Kuanzia Novemba Mosi Bajaji na Bodaboda marufuku kuingia Mjini

Upuuzi
Watu wanarahisisha usafiri nyie mnaleta obstacles

Imagine nawai kikao posta na nipo magomeni na imebaki dakika 10 nitumie usafiri gani wakati hata mwendokasi hazina njia Ni Kama magari ya kawaida tu kwenye mataa!!!

Jiji linatakiwa kuwa na kila aina ya usafiri angalia mfano pale kivukoni zile pikipiki ambavyo uwa zinawawaisha watu mjini

Pale utatumia usafiri gani zaidi ya bajaji au pikipiki ili uwai town?

Huu Ni upumbavu
 
Watanzania tunatakiwa tuachane na mazoea. Kujaza bajaj na pikipiki mjini ni umasikini MKUBWA
 
Sipo huko mkuu ila ni rai tu jinsi tunavyoona wengine wanavyopambana kutafuta hela
Mimi huku niliko mjini kati naenda na tube mzee
Huku maumivu mzee wakitutolea bodaboda wanakuwa wametuvunja miguu manake ndio kitu pekee reliable na fast kuwahi appointment zetu
 
Hizi Sheria huwa zinapitishwa na taasisi/vikao gani?
Hii ndilo tatizo kubwa sana na utawala wa Tanzania. Na hasa lilizidi wakati wa Magufuli. Nchi inaongozwa bila organisation yoyote. Ni matamko na usanii wa kujiweka mbele mbele kwenye social media ili ionekane viongozi ni wachapakazi kumbe ni maigizo tu.
 
kwa hii miji yetu ambayo karibu 70% ya wakazi ni maskini sijui kama maamuzi hayo yana afya.
Unajua wakati Corona inaingia na mkuu kabisa akafumba macho na kukataa kuwa ni propaganda za wazungu ili kukwepa lock-down, kuna kauli alitoa ndugayi na ilikuwa ya kiungwana kuzidi visingizio vingine vya 'tuchape kazi'.
Yeye alisema "tukiwafungia watu wetu na umasikini huu watakufa".

Tatizo ni kuwa wenye vinafasi vya kipato kidogo wanawaangalia kama wasio na kipato/ajira kama laana ya nchi na hawajui kabisa kuwa wanalipwa mishahara ili wawatengenezee maisha mazuri. Ndio maana haya matatizo yatazidi kuongezeka badala ya kpungua. Kwani ukisema wasiingie mjini inakuwaje akiwa mfano anatoka Mbagala kwenda Tegeta, aruke angani au azungukie Kisarawe?
 
Upuuzi
Watu wanarahisisha usafiri nyie mnaleta obstacles

Imagine nawai kikao posta na nipo magomeni na imebaki dakika 10 nitumie usafiri gani wakati hata mwendokasi hazina njia Ni Kama magari ya kawaida tu kwenye mataa!!!

Jiji linatakiwa kuwa na kila aina ya usafiri angalia mfano pale kivukoni zile pikipiki ambavyo uwa zinawawaisha watu mjini

Pale utatumia usafiri gani zaidi ya bajaji au pikipiki ili uwai town?

Huu Ni upumbavu
Kuchelewa ni jambo lako binafsi.
 
... another great move! Tunaomba watoe tafsiri ya "mjini" ili kuondoa utata. Kwa mfano, kuna vibajaj vinapiga routes za Mbezi hadi Manzese hizi zinakuwa zimeingia mjini? Badala ya "mjini" wangeainisha ni barabara zipi ambazo bajaji na bodaboda hazitakiwi kabisa kuonekana. Kwa mfano, Nyerere Rd. moja ya barabara muhimu nchini ndio inayoongoza kwa bodaboda; zinakera sana!
Vijana wangu Kama 4 pale kivukoni wanaondolewa barabarani duh hii serikali hii

Wakati ninalipia Kodi za kutosha kwa kupitia boda zangu.

Hii Nchi hi basi tu!!! Kuja kutengeneza route mpya na kupata wateja wapya na kuzoea kituo sio chini ya miezi 6 Sasa Hawa vijana watakuwa wanakula wapi?

Mimi nitalipaje vibali vikiisha? Hatuna serikali kiukweli hapa.
 
Upuuzi
Watu wanarahisisha usafiri nyie mnaleta obstacles

Imagine nawai kikao posta na nipo magomeni na imebaki dakika 10 nitumie usafiri gani wakati hata mwendokasi hazina njia Ni Kama magari ya kawaida tu kwenye mataa!!!

Jiji linatakiwa kuwa na kila aina ya usafiri angalia mfano pale kivukoni zile pikipiki ambavyo uwa zinawawaisha watu mjini

Pale utatumia usafiri gani zaidi ya bajaji au pikipiki ili uwai town?

Huu Ni upumbavu
Bajaj za walemavu wameruhusiwa wabaki.

Ukiwaunga mkono bodaboda city center maana yake wewe si mkazi wa Dar huwelewi shida wanazoleta hao jamaa ingawa siyo wote.
 
Unajua wakati Corona inaingia na mkuu kabisa akafumba macho na kukataa kuwa ni propaganda za wazungu ili kukwepa lock-down, kuna kauli alitoa ndugayi na ilikuwa ya kiungwana kuzidi visingizio vingine vya 'tuchape kazi'.
Yeye alisema "tukiwafungia watu wetu na umasikini huu watakufa".

Tatizo ni kuwa wenye vinafasi vya kipato kidogo wanawaangalia kama wasio na kipato/ajira kama laana ya nchi na hawajui kabisa kuwa wanalipwa mishahara ili wawatengenezee maisha mazuri. Ndio maana haya matatizo yatazidi kuongezeka badala ya kpungua. Kwani ukisema wasiingie mjini inakuwaje akiwa mfano anatoka Mbagala kwenda Tegeta, aruke angani au azungukie Kisarawe?
Ukitoka mbagala uishie kwenye keep left ya darajani karibu na Puma.
 
kimetokea nn tena? mbona walisha ruhusiwa?
ila bodaboda wanasababisha ajali sana karibu kila kona ya nchi.
 
Back
Top Bottom