Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sababu ni wameamua🐒Ndio hivyo tena !
Mimi ofc mathalani ipo Sokoine Drive, mchana natakata niende Kinondoni makaburini fasta kwenda nakurudi, kwa hiyo sina haki ya kupanda boda?Hayo yamezungumzwa na Abdi Issango ambaye ni mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar Es Salaam alipokuwa akihojiwa na Philip Mwihava katika kipindi cha Power Breakfast on Saturday pale Clouds Fm.
Baada ya Machinga, sasa ni bodaboda na bajaj zamu japo bajaj za walemavu zimeruhusiwa kuingia mjini.
Una maoni gani juu ya hili? Tunaelekea wapi?
View attachment 1991793
Wakimalizana na bodaboda zetu naomba wafikirie pia kuzuia gari kama IST, Passo na jamii yote ya baby walker za mjapani kuingia mjini zimezidi kuwa nyingi nazo ni kero !WA TANZANIA INATAKIWA MUELEWE.
maskini hatakiwi mjini yaani aludi bushi akalime mjini ni ya ma DON
Je wanavunja katiba ya nchi kuingia na vyombo vyao vya usafiri?Hayo yamezungumzwa na Abdi Issango ambaye ni mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar Es Salaam alipokuwa akihojiwa na Philip Mwihava katika kipindi cha Power Breakfast on Saturday pale Clouds Fm.
Baada ya Machinga, sasa ni bodaboda na bajaj zamu japo bajaj za walemavu zimeruhusiwa kuingia mjini.
Una maoni gani juu ya hili? Tunaelekea wapi?
View attachment 1991793
kwa dar fresh tu ila kwa mikoani ziingie tuIfikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu
Agizo hilo limetolewa na Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms
#PbOnSaturday
Sio mjini , wao wamemaanisha katikati ya mji, city center... another great move! Tunaomba watoe tafsiri ya "mjini" ili kuondoa utata. Kwa mfano, kuna vibajaj vinapiga routes za Mbezi hadi Manzese hizi zinakuwa zimeingia mjini? Badala ya "mjini" wangeainisha ni barabara zipi ambazo bajaji na bodaboda hazitakiwi kabisa kuonekana. Kwa mfano, Nyerere Rd. moja ya barabara muhimu nchini ndio inayoongoza kwa bodaboda; zinakera sana!
Sawa, tutakata leseni za kuingia mjini, maana haiwezekani mtu ununue pikipiki kwa ajili ya kusaidia transportation kwenye biashara halafu umwambie asiende mjini, hizo parcel abebe kichwani?Ifikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu
Agizo hilo limetolewa na Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms
#PbOnSaturday
Zinapitishwa na chama dola..kupitia vikao vya ndani..kuna swali lingine?Hizi Sheria huwa zinapitishwa na taasisi/vikao gani?
Nenda jukwaa la photos zipo za kutosha..habari bila picha hio ni lamri
Vijikura vya ajabu vya kuharibu mfumo viogopwe CCM tupo million 10,kura zetu zinatoshaSafi sanaaaaaaaa! Nimeipenda hii move. Na Sasa hivi vibanda vya ajabu kando ya barabara hakuna tena.
Ngoja 2025 ifike tuone kama hawajabadili maamuzi.