David Goliath
JF-Expert Member
- May 16, 2018
- 949
- 1,878
Hiyo ni Kwa Dar tu Mbeya ni Kijiji kilichoendeleaDuu!! Sasa Mbeya itakuwaje?
Kama nawaona vile, madereva wa town basi, ni sherehe kwa kwenda mbele!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hiyo ni Kwa Dar tu Mbeya ni Kijiji kilichoendeleaDuu!! Sasa Mbeya itakuwaje?
Kama nawaona vile, madereva wa town basi, ni sherehe kwa kwenda mbele!!
Hakuna masikini anayemudu kuishi mjini kama posta.
Sio lazima kuchelewa nikipata imegence nafanyaje ?Kuchelewa ni jambo lako binafsi.
habari bila picha hio ni lamriIfikapo tarehe 1/11/2021 bodaboda na bajaji zote marufuku kuingia mjini na wale waliokua mjini watoke wote isipokua bajaji za walemavu
Agizo hilo limetolewa na Abdi Issango, Kamishna Msaidizi wa Polisi, Mkuu wa Usalama Barabarani Kanda Maalumu ya Dms
#PbOnSaturday
Haha ndio nipo Rangi 3 hapa, napo ni mjini? Sijaanza kuja Posta.
Naona limekugusa hili hahahahahaUpuuzi
Watu wanarahisisha usafiri nyie mnaleta obstacles
Imagine nawai kikao posta na nipo magomeni na imebaki dakika 10 nitumie usafiri gani wakati hata mwendokasi hazina njia Ni Kama magari ya kawaida tu kwenye mataa!!!
Jiji linatakiwa kuwa na kila aina ya usafiri angalia mfano pale kivukoni zile pikipiki ambavyo uwa zinawawaisha watu mjini
Pale utatumia usafiri gani zaidi ya bajaji au pikipiki ili uwai town?
Huu Ni upumbavu
Labda Teksi za wahusika ktk maamuzi, pesa ya week imepungua sababu ya Boda na Bajaji. Khy wanataka kutetea Biashara zao.Hayo yamezungumzwa na Abdi Issango ambaye ni mkuu wa Usalama barabarani Kanda Maalum ya Dar Es Salaam alipokuwa akihojiwa na Philip Mwihava katika kipindi cha Power Breakfast on Saturday pale Clouds Fm.
Baada ya Machinga, sasa ni bodaboda na bajaj zamu japo bajaj za walemavu zimeruhusiwa kuingia mjini.
Una maoni gani juu ya hili? Tunaelekea wapi?
View attachment 1991793
Ukipanda bodaboda kutokea hapo Kama unaenda mjini inabidi uishie Keep left ya Puma.Haha ndio nipo Rangi 3 hapa, napo ni mjini? Sijaanza kuja Posta.
Huku maumivu mzee wakitutolea bodaboda wanakuwa wametuvunja miguu manake ndio kitu pekee reliable na fast kuwahi appointment zetu
Matamko tu ya mtu mmoja kutegemeana na alivyoamkaHizi Sheria huwa zinapitishwa na taasisi/vikao gani?