Kuanzia sasa mimi na wanawake basi, inatosha!

Umeshauri vizuri, lakini mjomba wako tafuta hela kidogo tu, umpe hata mara mbili kwa mwaka, usimuumize kiasi hicho.
 
Kama wewe "Saint" unalizwa na mapenzi vipi kuhusu sisi tunaoomba kupitia "Masaints?😀
 
haya mashairi yapo katka wimbo gani na nani ameuimba?
 
Umeshauri vizuri, lakini mjomba wako tafuta hela kidogo tu, umpe hata mara mbili kwa mwaka, usimuumize kiasi hicho.
Yaani, issue si mjomba, ni ndugu ambaye ame'share' issue yake na mkewe. Mjomba kaingia hapa kwa lengo la kuonyesha kwamba "ukimsaidia mtu usiweke matumaini kwamba atakuja kukusaidia kwa sababu anaweza akashindwa halafu ukaanza kumlaumu na kupata msongo wa mawazo." Mjomba alivyonisaidia alifikiri anaweka akiba, na alipoona sijaweza kumsaidia alianza kutoa maneno kwamba mimi "sina msaada wowote kwake." Kumbuka ndugu aliye'share' kilichotokea kwake ni kwamba alimsaidia mkewe kusoma, na mambo mengine, na sasa mkewe kalala mbele na ndugu anakumbuka wema/ukarimu aliomfanyia mkewe, lakini 'haukufua dafu'. Unakumbuka wimbo: "tenda wema, nenda zako, usingoje shukurani zako" au simply ukiwa na moyo wa kumsaidia mchumba/mke/mtu ambaye shida yake inakugusa, usitegemee kukurushia as if 'ulimkopesha'. Hii ndiyo maana ya simulizi langu kuhusu mjomba. Don't help a person with the expectation that you will be paid back by that person. If you do, you'll be disappointed.
 
Sasa ut.atomba nini mkuu?mapenzi hayasuswi
 
Ndo hapo, kabugi sana alivyomtupa mjomba wake, mfano angekuwa ndo baba yake mzazi je, angemtupa?
 
Nilijitahidi sana kumtunza, na kumheshimu, but nilichokuja kuambulia ni maneno ya dharau na kejeli.

ACHA KULIA LIA, NO WOMAN NEEDS A GOOD GUY MR. NICE GUY, unasema ulimheshimu...yeye alikuheshimu !?? Hapana hakuheshimu....big mstake...yeye akuheshimu wewe mpende.....tumia akili sio hisia.......sasa unahamia kwenye sabuni nyeto au ? au utadate wanaume wenzio...!? shida hamsimami nafasi yenu mnamfanya mwanamek awe kama kiongozi wako wa maamuzi kukuendesha n aunatumia tumia moyo badala ya akili
 
Mkuu ndio ninachopitia hapa , i swear nikipona sitarudia tena nimejifunza, yani unakuwa loyal sio mambo mengi ila unavyokuja kulipwa 🙌.
Why are you guys loyal to women? trying to please them as Mr. Nice Guys
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…