fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 6,699
- 9,323
Hakuna wa kumdondosha samiaSasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
uwe unatoa neno.....
Kila ofisi ya kata ingekua na library, watanzani wangetafua elimu na maarifa kwakua wanapenda kufunyua mambo.Mnamuonea bure Mzee wa watu. Kikwete ni peace Sana. Uzuri wake ana kifua Hana mihemko. Watanzania hulka yetu ni umbea Tu na uvumi.
Saizi FUTA tuu Uzi maana ni aibu tupu π€£π€£π€£π€£π€£π€£Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
ππHizi ndo ramri chonganishi.
Watanzania skiizzi tunaishi kwa matumaini SanaKitendo cha makamu kuzunguka kuungwa mkono na baadh ya watu wenye ushawish kimenipa mashaka sanaaa something big is coming
ππππππππππWatanzania skiizzi tunaishi kwa matumaini Sana