GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Daah mazee mmechoka hatari.
Mkipewa nafasi nafikiri mtamgawana
 
Kama unazungumzia familia yako hapo nyumbani sawa kama unalisemea taifa bado hakujawa usiku sana shituka kosha uso ondoa wenge.
 
Mgefanya maamuzi mapema ili nasi tujue tunaanzia wapi, sasa kila siku tetesi mnatuweka njia panda.

Mtuambie mmeamuaje huko Darisalam, huku tunasubiri kauli yenu.
 
..amekumbusha Polepole leo, ni utaratibu na desturi ya ccm chama kuji-rebrand kila baada ya miaka 10 na hivyo team yote iliyokuwa inaongoza serikali ndani ya miaka 10 hawawezi kuwa wagombea nafasi ya rais kupitia ccm bila kujali yote waliyofanya..! UMEELEWA?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…