GE2025 Kuanzia tarehe 19 Julai, "She will lose total control of Her Government"

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
How I wish that this 👆🏾is not just a dream.
 
hahahaaaa haya ulioyoyasema hawataki yasemwe. wemekalia kusema nchi imemshinda. yaani wanataka soote tuwekwenye fikra zao kuwa huyu mama toka aingia madarakani hamna alichofanya chema.
 
lakini ndoo huyo wakati wake democrasia mnayo ililia ilishamili mpa mkamuita dhaifu. ajira alizimwaga kama maji.
 
Kwani hana wanaompenda? Mimi ni.moja ya watu wanaomkubali sana SSH bahati mbaya siko kwenye kazi za serikali za kimaamuzi.

Ningekuwa huko ninge deal na nyie
 

Mada juu ya mada, 99% ya wasomaji wa JF hamjaelewa muhusika hapo juu ☝️ na kama unaelewa nafasi zao wahusika salaleh.

Ukombozi wetu inataka watu wajitoe muhanga kweli kweli; most of we are just dumb.

You can’t figure it out huyo jamaa kwenye hiyo mada yake, yaani watu wanawasanua kwa miaka humu. Hili ni tatizo; nyinyi ni ujinga tu.
 
Hii sijaelewa wakuu
 
Means huyu mhusika
/mtoa mada ni kigogo hasa ktika inner circle? Au tuseme kwenye ngazi za juu za maamuzi?
 
Means huyu mhusika
/mtoa mada ni kigogo hasa ktika inner circle? Au tuseme kwenye ngazi za juu za maamuzi?
Inabidi usikilize hoja za Gwajima and figure out.

This time around listen careful.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…