Moja zito alilogusia ktk hoja zake za press ya 2 ni kuvihusisha vyombo "KIAINA* sa sijui kama vyombo vyenyewe vitakuwa tayari kwa kazi maalumu?Inabidi usikilize hoja za Gwajima and figure out.
This time around listen careful.
Hii tabia tulirithi kutoka kwa waingereza 🤣🤣🤣Humu unaweza kupigiwa ramli hata mhusika ukisoma unaanza kujiangalia kama upo hai
Kikwete anasitafishwa leo hii, Mungu mkubwa kweli.Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
AnastaafishwajeKikwete anasitafishwa leo hii, Mungu mkubwa kweli.
Wanasema atakamatwa na kulazimishwa asijihusishe na siasa za ndani kwani hatufai maana wakati wa utawala wake alishindwa kuiongoza hii nchi.Anastaafishwaje
Moja zito alilogusia ktk hoja zake za press ya 2 ni kuvihusisha vyombo "KIAINA* sa sijui kama vyombo vyenyewe vitakuwa tayari kwa kazi maalumu?
Ni hawaWanasema atakamatwa na kulazimishwa asijihusishe na siasa za ndani kwani hatufai maana wakati wa utawala wake alishindwa kuiongoza hii nchi.
Nani atamkamata?za kuambiwa changanya na zako..!!Wanasema atakamatwa na kulazimishwa asijihusishe na siasa za ndani kwani hatufai maana wakati wa utawala wake alishindwa kuiongoza hii nchi.
Duuh we unaumwa nenda katibiwe haraka utakufa siku si zako, si kwa upupu km huu tena bila haya.Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Kwa iyo na wewe unajiona ni mtu mhimu sana hapa jf, wewe utakua na vina saba vya BkNaomba tuheshimiane usinihusishe kwenye nyuzi za upiga ramli mimi sio mpiga ramli ndo maana hutakaa unione hata nime-comment hii nimereply sababu tu umenitag
Sijaja jamiiforums kudiscuss matukio na drama hizo sio level zangu sijaja jamiiforums kudiscuss matukio bali kutoa sulihisho kwenye matatizo ya wananchi
Ungekuja kwa ID yako ya siku zote.Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Ramli za kipuuzi kama hizi zimo nyingi sana JF, lakini hakuna hata moja iliyofanikiwa. Sijui wanatumia kuku wa rangi gani kwenye ramli zao! Ahahahahaha!!Hizi ndo ramri chonganishi.
Kuna wakati Jakaya Kikwete aliwahi kusema, ndani ya Ccm huwezi kuacha glass ya maji ukaenda nje mara moja halafu ukaikuta ikiwa salama. Maana yake wahuni wapo tangu miaka mingi.Siasa ni umafia tu.
Huko CCM hawaaminiani.
wahuni wengi wako huko CCM wenye madili haramu, mafidadi yote yamejificha humo.
kinachoumiza wale wazalendo CCM ndiyo hao hawana nguvu yoyote ila wapo tu kimaslahi watafanyaje sasa?
Kila mtu Ana standard zake hata wewe unaweza jiwekea standard zako sio kosa na inarusiwaKwa iyo na wewe unajiona ni mtu mhimu sana hapa jf, wewe utakua na vina saba vya Bk
Sisi wasouth wa Tz tunacomments wapi maana kwetu kuna jimbo kuu katoliki na tumepata mgombea mwenza kutoka jimbo letu; je nasisi ni wafia dini lialia au wafia maslahi ya nchi hii?Sasa ni rasmi yupo mtu kati
Hakuna maagizo ataagiza yatatekelezwa
Hakuna mtu ataweza kumteka tena
Hakuna mtu ataweza kumfukuza kazi
Hakuna kitu atakipanga kisivuje
Kiufupi atakuwepo Kama nyoka aliyeng'olewa meno atapanga na tutapangua.
Na yule mzee anasitafishwa rasmi leo.
Tanganyika will be back
And Tanzania will shine again.
Kweli nianze kupoteza mda kudiscuss ramli- kwanini tusitumie nguvu kubwa kuangalia tunatatuaje changamoto zinazoonekana na zinazomkabili mwananchiYou place yourself on the pedestal, higher than anyone else to the extent that you can touch the clouds; and yet you want to rule the lowly, beneath your feet! Why?