Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
YEAH, BUSSINESS START WITH ZERO CAPITAL....Biashara ni KIPAJI mzee,sio kila mtu anacho!...nilianza na biashara sina mtaji yaan nachukua mzigo kwa “malikauli"
Mfanya biashara yeyote yule Lazima aaze na mtaji kidogo ili kuangalia upepo unaendaje...Shida JF Ina vijana wametoka shule wanafikiri wao wakipata 5m wanatajirika kumbe ukiwakabidhi ukarudi mnaanza kulaumiana.
Hii ndio business idea yangu mkuu, Nina 5 million cash Ila nataka nifanyie singida sijui itafanya kazi, Lakini na target hiyo ya phone and accecories kuchanganya pasi za umeme na mavifaa vyote vya umeme.🦷Mkuu fungua duka la electronics hapo mjini.hakikisha unauza hizi ear pods,chargers,simu(pixel and iphones),laptops(wanachuo mazoba kabisa),speakers, 🦷Kwa kuanzia hapo
Hakikisha fremu yako Ina taa Kali sana na mwanga wakutosha
🦷Fremu kariakoo na makumbusho ni Bei sana nashauri tafuta sehemu nyingine.
🦷Nunua camera Kali inayoweza kutoka dlsr effect Kwa ajili ya kupiga picha za matangangazo
🦷Sasa wateja watakuja kwako Kwa kufanya marketing ya hatari
🦷Hakikisha unajinga na matangazo ya insta FB,na google
🦷Vitu vyako nunua refubrished...huku bongo wakununa brand new ni wachache(halafu huma hela ya kutosha)
🦷Vitu nunua Kwa Hawa jamaa wanaenda Dubai....ukikolea nenda mwenyewe
🦷Ukiuza kitu mwombe mteja mpigie picha ,post kwenye social media hii Ina boost uaminifu (sisi vijana hatuaminiki)
Asante mkuu[emoji3103]Mkuu fungua duka la electronics hapo mjini.hakikisha unauza hizi ear pods,chargers,simu(pixel and iphones),laptops(wanachuo mazoba kabisa),speakers, [emoji3103]Kwa kuanzia hapo
Hakikisha fremu yako Ina taa Kali sana na mwanga wakutosha
[emoji3103]Fremu kariakoo na makumbusho ni Bei sana nashauri tafuta sehemu nyingine.
[emoji3103]Nunua camera Kali inayoweza kutoka dlsr effect Kwa ajili ya kupiga picha za matangangazo
[emoji3103]Sasa wateja watakuja kwako Kwa kufanya marketing ya hatari
[emoji3103]Hakikisha unajinga na matangazo ya insta FB,na google
[emoji3103]Vitu vyako nunua refubrished...huku bongo wakununa brand new ni wachache(halafu huma hela ya kutosha)
[emoji3103]Vitu nunua Kwa Hawa jamaa wanaenda Dubai....ukikolea nenda mwenyewe
[emoji3103]Ukiuza kitu mwombe mteja mpigie picha ,post kwenye social media hii Ina boost uaminifu (sisi vijana hatuaminiki)
Singida mjini ipo poa ...ila iwe centre kabisa....utawapata tuHii ndio business idea yangu mkuu, Nina 5 million cash Ila nataka nifanyie singida sijui itafanya kazi, Lakini na target hiyo ya phone and accecories kuchanganya pasi za umeme na mavifaa vyote vya umeme.
Mkuu hii Mtfe ni Nini naomba insight kidogoHebu wekeza Mtfe trading.Uta double hiyo Hela kwa kipindi kifupi tu.Fanya hivi...wekeza hiyo pesa Kisha Kila faida unayopata kwa wiki itoe mpaka utimize huo mtaji wako.Sasa kwavile mtaji wako umesharudi Ile iliyo Baki kule ifanyie kitu inaitea compounding.Ndani ya mwaka tu umetoboa maisha.
Mods naomba mdeal na hii comment. MTFE ni ponzi scheme itayoishia kama ponzi scheme nyingine za Kalynda na kadhalika.Hebu wekeza Mtfe trading.Uta double hiyo Hela kwa kipindi kifupi tu.Fanya hivi...wekeza hiyo pesa Kisha Kila faida unayopata kwa wiki itoe mpaka utimize huo mtaji wako.Sasa kwavile mtaji wako umesharudi Ile iliyo Baki kule ifanyie kitu inaitea compounding.Ndani ya mwaka tu umetoboa maisha.
Duuuhhhhh kumbe natakiwa kuwa makini na ushauri wa humu ndaniMods naomba mdeal na hii comment. MTFE ni ponzi scheme itayoishia kama ponzi scheme nyingine za Kalynda na kadhalika.
Bizinesi izi noti fo everi wani.....😎
Ebu endelea kujitafuta mkuu....🙃
Mkuu hii ni kawaida Mimi wakati sina mtaji nilikuwa naona orodha ndefu sana ya opportunities, baada ya ku access mtaji huwezi amini mambo ni tofauti kabisaKabisa biashara watu zipo damuni hata akipata msingi wa laki anatoboa ,mtu mwenye 40m hajui afanye biashara gani aiseee inasikitisha ,namshauri atulie tu biashara hawezi na ndiyo maana ndani ya muda mfupi tu kashatapakanya 7m nzima.
Ma opportunity kibao sema watu hawana mitaji ,yeye ana mtaji hajui cha kufanya.
Mkuu hii ni kawaida Mimi wakati sina mtaji nilikuwa naona orodha ndefu sana ya opportunities, baada ya ku access mtaji huwezi amini mambo ni tofauti kabisa
Hii biashara ya Plumbing materials imemtajirisha jamaa mmoja pale Mwanza, anaitwa Zongii.Njooo nitembeee ofisini kwangu ujifunze, Mimi nimeanza biashara ya plumbing material and sanitary ware kwa mtaji mdogo sana kama 7m tu ,lakini mambo yanaenda , karibu hata uwekeze kwangu kimaandishi na kisheria
Sent from my Infinix X657B using JamiiForums mobile app
Zongii hatari sana, yupo na hammer yake nyekundu. SEMA ameanza kitambo sanaHii biashara ya Plumbing materials imemtajirisha jamaa mmoja pale Mwanza, anaitwa Zongii.
Ni nzuri sana hasa wateja wakiwa na uhakika wa kupata kila kitu kinachohusu plumbing kwenye duka lako.
Sent using Jamii Forums mobile app
MkuuHii biashara ya Plumbing materials imemtajirisha jamaa mmoja pale Mwanza, anaitwa Zongii.
Ni nzuri sana hasa wateja wakiwa na uhakika wa kupata kila kitu kinachohusu plumbing kwenye duka lako.
Sent using Jamii Forums mobile app