Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Sawa
 
Hela ya kuopata Kwa njia ambayo sio ya biashara hata ufanyaje Ina nafasi kubwa ya kupotea.

Ningekuwa ni Mimi ningeingia shambani au kujenga nyumba za kupangisha maana hizo ndio miradi ya watu ambao sio risk taker na waliopata pesa Kwa madili.

Lakini pia kwenye biashara Bora ufungue za aina tofauti kama 3 na uwe tayari kupoteza kiasi Fulani Ili ujifunze ukivumilia utafaulu.
 
Hiyo hela huyu mtu kapata sio ya kutolea jasho, najiuliza kabisa hustler akose wazo la kuwekeza pesa yake? aaah! hapana labda huyu ni muajiriwa au kapewa ya urithi kama ulivyosema, hustler hakosagi wazo la kuzalishia pesa yake
Hata Mimi nimesema ni hela haramu ya dili ndio maana hajui Cha kufanya.

Binafsi ningejenga hata Guests ya vyumba 6 vya buku 7 au 6 voda fasta lazima ingenilipa Kwa sababu sio hela ya jasho hiyo.
 

Bonge la idea lakini ufugaji ni passion sidhani Kama mleta mada Ana passion hiyo, Ila ng’ombe wa maziwa ni ATM
 
Idea versus experience. Somo kubwa sana hilo sijui wamekuelewa
 
Kuna watu wanasema eti inakuwaje una 40M halaf hauna business idea.

Hebu pata hela ndefu alafu uone kama idea itakuja!!! Unaweza kesha usiku kucha no idea.

Ila ushauri wangu tena business ni very risk, my plan ilikuwa ni kuwa Millionaire by 2025.. ila dah hasara nilizoingia hadi imefanya baadhi ha pesa zangu nikazitupie Utt amis kwanza huku nikiwaza.

Usikurupuke mkuu,m
 
Bonge la idea lakini ufugaji ni passion sidhani Kama mleta mada Ana passion hiyo, Ila ng’ombe wa maziwa ni ATM
Ni uhakika mkuu, unanunua ng'ombe akiwa na mimba mkuu, mimi mpaka sasa sina passion ya kufuga kabisa ila inabidi kufuga maana pesa ipo nyingi, ukiwa na ng'ombe watano tu wa maziwa pure breeding wanakuzalishia shilingi milioni 5 kila mwezi.
 
Ni uhakika mkuu, unanunua ng'ombe akiwa na mimba mkuu, mimi mpaka sasa sina passion ya kufuga kabisa ila inabidi kufuga maana pesa ipo nyingi, ukiwa na ng'ombe watano tu wa maziwa pure breeding wanakuzalishia shilingi milioni 5 kila mwezi.
Hawa ng'ombe bila shaka ni lazima uwe Kijijini , huku Dar utawalisha Nini?
 
Jambo zuri zaidi ni kutafuta experience katika biashara yoyote ile,then after experience pesa inakujaga baadae.

Ndio maana biashara nyingi huwa zinakufa mwanzoni kwa sababu zinahitaji experience,na experience huja kwenye changamoto,na wengi wakipata changamoto wanapotea.

Ndio maana tunasema kwamba biashara mpya ni kama mtoto,anahitaji kutunzwa na kufuatiliwa.
.biashara mpya inatakiwa uingize pesa ambayo UPO TAYARI KUIPOTEZA kwa sababu biashara mpya inachangamoto nyingi ambazo hujazijua.

Solution ya haya yote ni kutafuta mtu ambaye ana experience na biashara husika mkafanya ili kwenye changamoto yeye ajue anazipitaje kwa sababu tayari ni mzoefu.
 

Well said Mkuu💯
 
Ila ukipata sehemu nzuri ambayo haina uswahili, utatoboa. Usiwaogope Alina TRA, Halmadhauri, watakukadiria kulingana na faida yako.
 

Nilishauri hapo juu nikaambiwa hesabu Za makaratasi..

Nipo ulingoni shughuli naijua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…