Kuanzisha biashara ni jambo gumu sana kuliko kutafuta ajira

Tafuta Oder maduka ya jumla nenda hapo Nairobi viwanda ni vingi nunua mzigo pita border lipa ushuru mpelekee aliyekupa order ni rahisi kuona unachofanya kinalipa au kuna faida au hasara.

Kuliko kuwaza hizo changamoto kabla hujatia maguu ukiwazia hizo figisu hakuna biashara utafanya!
Na hakuna biashara rahisi tu isiyo na mazonge zonge jitoe kweli na uamue ni nini unataka kufanya kuna mambo kuyaelewa lazima hela ikitoke kama sio kukatika.

Wakati nimetoka machimboni hela nilikuwa nayo mawazo kama yote shika hili acha lile mara hapa umechukua chumba sio na ushaweka vitu kwa ujumla hela inazidi kukata tu.
Cha ajabu hela imebaki kidogo ndo sasa unagundua kipi cha kufanya na hela imebaki kidogo wakati mwanzo ulikuwa na uwezo au mtaji mzuri!
 
Sasa hivi kuna ng'ombe wa kisasa kwa siku anakuletea lita 30 za maziwa, tafuta eneo Tanga, iringa karibu na viwanda vya maziwa, au hao cow fugia bagamoyo huko, nunua hao ng'ombe fuga.

Cow anaye produce 30 litres.
Lita 1 ya maziwa sasa hivi ni shilingi ngapi???
 
Mkuu unakosa wazo kwa sababu akili yako ipo kwenye sehemu mbili, Mosi. Inawaza faida kubwa, pili inawaza hofu ya kupoteza kwa yaliyokukuta. Wazo la biashara nzuri ni kile kitu unachokipenda zaidi hilo ndo la kuanza nalo.Ulikuwa haupendi kulima ndo maana ulipata ikapotea. Fungua biashara ya kitu unachokipenda zaidi.
 
Usikute unaenda kubet maana mawazo ya vijana bhna mtaenda tafuta odd mbili πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Nmesoma heading tu nikastaajab.
 
Na ndiyo maana wachagga wenzangu wengi walitoka bila kitu huko kwao ila sasa ccm wanawaharass
 
Na ndiyo maana wachagga wenzangu wengi walitoka bila kitu huko kwao ila sasa ccm wanawaharass
 
Kiongozi, nunua Kirikuu/Carry then tafuta eneo la kutosha na likiwa fenced itapendeza zaidi, ukipata mashine ya kuchakata plastic anza hiyo biashara ya maplastiki.

Unazunguka na Carry yako unachukua mzigo kwa wale wanaonunua plastic kutoka kwa mateja ili wapeleke wakauze kiwandani, nunua kwa hao unazichakata vizuri mzigo ukiwa wa kutosha unapeleka kwa mchina unauza bei ya juu coz tayari umeshazichakata.

Unaweza ukawa unatafuta na oil chafu pamoja na chuma chakavu unanunua mtaani unaenda kuuza viwandani, utakuja kuleta mrejesho hapa.

Kila la heri ndugu...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…