Basi wangekuwa wanatangaza hali ya hatari kila siku mkoa wa kagera...kama kungekuwa na umaskini wa kiasi hicho.
Ulishawahi ona wanaomba misaada ya chakula au malazi?
Hizo takwimu za per capita ni simple tu wanachukua Pato la mkoa wanagawa na population... kama watu wa kagera hawanunui sana chakula wanakula kutoka shambani? Vip ulishawahi ona mashamba ya ndizi yalivyo na mixed farming...
Ukienda kagera hasa huko vijijini ukaona hali ya maisha ikivyo tukianza na makazi, huduma za kijamii na aina ya watu na hizo takwimu zako utajiona mbuzi