Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

Hao ni wahaya hata usemeje acha kuleta shobo na mkoa wa watu mkoa weny mchanganyiko ni Dar hakuna mwingine.

Punguza ushamba !!
Kwanza Wahaya wana akili sana kama wanafungua danguro una wafuata unalipa hela yako elfu tatu ina maana kwa siku labda ana pata elfu 60 lakini dada zako huko wana landalanda kwenye mabaa na mabalabalani kwa siku wanapata au wanakosa
 
Kama ndivyo ilivyo kwanini watunge mtihani sawa kwa shule zote?

Hili tulishalizungumzia sana. Itabidi ifike mahali upimaji uendane na mazingira. Si tu kwa wanafunzi bali hata kwa walimu pia.

Mwalimu anatembea umbali mrefu kufika kituoni, anatakiwa kuwasili kabla ya saa 1:30. Unampa vigezo sawa na anayeishi mazingira ya karibu na shule au mwenye usafiri binafsi/taasisi. Si rahisi kuwa na ufanisi/matokeo sawa
 
Cha ajabu sasa, mtaani wanatoboa akina diamond, hamonize, ali kiba, fei toto😂😂,
Huku hao wanaofaulu wakienda kufanya kazi serikalini, na wengi kuishia kuishi kwa kula milungula🤷‍♂️
Ni kweli bana, kufaulu elimu ya darasani sio kufaulu maisha. ndio maana wenzetu warabu au wahindi vijana wao wanasoma kwa malengo, sio ilmradi kusoma tu...wakishamaliza masomo yao wanarudi kuendesha biashara za wazazi wao..ndio maana wanapiga hatua kimaisha..sisi waswahili vijana wetu wanasoma weeeee, wakimaliza wanasubiri ajira. ndio maana graduates wengi sana wapo kwa wazazi wao hawana mbele Wala nyuma wanasubiri ugali wa nyumbani..🙄🙄

Kuna haja ya serikali kubadirisha mfumo wa elimu yetu, iwe ya kumfanya mtoto kujitegemea kuliko kusomea ajira. Pia wazazi wawajengee watoto wao maisha ya kujitegemea.
 
Ndugu, ada ya kidato cha kwanza hadi cha nne ni kiasi gani hapo KEMEBOS?
 
Kiazi kweli kweli wewe. Ebu tupe indicators za umasikini kwa tanzania na tuzipime kwa upande wa kwenu na mkoa wa kagera na turejee kwenye tafiti uchwara za nbs. Hakika utajiona mjinga na kiazk haswa
Mnatuka umaskini washamba
 
Wewe hujielewi kabisa ndugu yangu. Unaona si vema kuwashindanisha wanafunzi kwenye matokeo lakini unaona ni vizuri kuwashindanisha kwenye mtihani mmoja japo wamesoma katika mazingira tofauti eti? Kama hoja yako iko sawa, basi ilitakiwa Necta iwe inatoa mitihani tofauti pia kulingana na mazingira na uwezo wa wanafunzi. Mfano, haiingii akilini mtoto wa St. Kayumba huko Kasangezi Kasulu umpe mtihani mmoja na anayesoma Tabora Boys au Ilboru halafu uje ufiche mlinganisho wa matokeo kisa wa St. Kayumba kamshinda wa Ilboru! Mnawazaje lakini? Siasa zinatuharibia elimu!
 
Shule zote zikianza kufanya kama Kemebos na Kaizirege kwa kuwachagulia wanafunzi kituo cha kufanyia mitihani kutokana na ufaulu, zitafanya vizuri zaidi ya Kemebos. Ukweli matokeo ya Kemebos yanapaswa kuunganishwa na ya Kaizirege.
 
Ndo maamuzi yametoka. Na Kuanzia 2024 Serikali itakuwa na English Medium zake kwa bei ya kawaida,
Kuna baadhi ya shule hapa dar zina hyo programe na inafanya kazi nadhani inafanyiwa tathimini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…