Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

Necta walisema mapema sana mwaka 2022 kwamba kuanzia mwaka huu matokeo hayatatoa 10 bora. Walisema hivo kabla hata mitihani haijasahishishwa inawezekana hata iuanza ilikuwa haijaanza.
Point waliyotoa NECTA iko sahihi na serikali inatakiwa kuona ukweli huo. Hivi una akili timamua hata wewe unayeandika kunfananisha mtoto wa private na serikali? Mtoto anaamka asubuhi hajui kama atakula mchana, hana nauli, kwenye daladala anasukumwa sukumwa tu, njiani anakoswa koswa na bodaboda, akifika home wazazi wanaoigana au anapewa ubuyu na maandazi akauze, akirudi apike na kufanya kazi za ndani na wakqti huo umeme uneishq haqwzi kujisomea au anaishi nyumba haina uneme, bado hana madaftari na vitabu vya kusoma kwa sababu serikali haijapeleka vitabu mashuleni kwa ratio hata ya 1:2 ubakuta labda ration ni 1:10😐 na haviendi kila mwaka, je kama kuna mtoto kapoteza kitabu kitakuwa replaced vipi? Bado huyo mzazi hawezi afford vitabu kwa mtoto.Mtoro anarudi home anakuta hata chakula hamna. Mtoto wa tandale ubamfabanisha na mtoto wa Masaki uko sawa kichwani au ni USHABIKI NA MIHEMKO????😳🤔.
Na serikali hili waliangalie ndo maana walimu wanakuwa wakali kuoitikoza kwa sababu serikali inalazimisha wakimu wa serikali kufaulisha katika mazingira yasiyowezekana kabisa wanaguka mbogo kwa wanafunzi katika kutekeleza yasiyo wezekana
Kwa kweli wako sahihi katika kuwacomfort watoto wa kimaskini na wale weny uwezo mdogo maana izo shule Zina ubaguzi wanachagua kwanza vichwa na wenye uwezo wa kulipa ada.
 
Ukisema hamna haja ya promotion ya waliofaulu ni kama unawanyima haki ya msingi ya kuwa recognized kutokana na efforts zao.

Hata makazini humo msipopandishwa vyeo huwa mnalalamika sana. Magufuli hakuwaongeza mshahara mkalalamika wee ila hili la wanafunzi wenye juhudi kuwa recognized hamtaki. Eti oh shule itapata umaarufu ni kweli lazma shule ipate umaarufu sababu wamesajili cream.
 
infwact waaya ndio majiniaz wa tanzania any way WAKORA MUNOMUNO kwa kweeeeriiiiiiiiiiiiiiiiii
 
29.1.2023 Necta imetangaza rasmi matokeo ya kidato cha nne (CSEE) 2022, matokeo haya yamekuja na utaratibu mpya ambapo hakuna kutajwa nafasi ya shule kitaifa na kimkoa maana yake pia hakuna utaratibu wa kutaja shule zilizoongoza kitaifa sanjari na hayo NECTA imefuta utaratibu wa kutaja wanafunzi waliofanya vizuri kitaifa maana yake zile mbwembwe za kwenda kupongezwa bungeni na kuitwa TO zimezikwa rasmi.

Vijana wa shule kama Mzumbe, Ilboru, Kibaha na nyinginezo watakuwa hawasomi kwa mzuka tena ili kuibuka kipanga wa TAIFA(TO). Moja ya sababu iliyotajwa ni kuwa NECTA imeona kwa kutangaza shule zinazofanya vizuri inazipa promo la bure shule hizo, hapa sijui wanataka shule zianze kulipia matangazo 🤣 anyways ya NECTA tuwaachie wenyewe.

Taratibu mpya za utangazaji matokeo za NECTA hazijafanya jitahada za baadhi ya shule zisijulikane, hapa nazungumzia maajabu yaliyofanywa na shule kutoka mkoani BUKOBA ijulikanayo kama KEMOBOS, shule ya KEMOBOS kama ingetokea NECTA imetangaza shule 10 bora za mwaka 2022 bila shaka hii ingeibuka kidedea. Iko hivi ndugu zangu.

KEMOBOS ilikua na watahiniwa 68 katika hao watahiniwa 68, watahiniwa 65 wamepata daraja la kwanza la alama saba(1.7) maana yake wanafunzi 68, 65 wamepata A saba na kuendelea kwenye jumla ya masomo yao.

Watahiniwa wawili ambao kwa shule hiyo tunawachukulia kama watahiniwa wenye uwezo wa wastani wamepata daraja la kwanza la alama nane( 1.8)

Mtahiniwa mmoja ambaye kwa KEMOBOS unaweza sema ndo mtahiniwa mwenye uwezo dhaifu/mdogo au wa chini amepata daraja la kwanza la alama 9 (1.9)

Maajabu hayajaishia hapo katika watahiniwa wote 68 zaidi ya watahiniwa 32 wamenyoosha A kwenye masomo yote waliyoyafanya yani madogo hawa wamekung'uta A kuanzia hesabu hadi Kiswahili.

TETESI: Tetesi Hizi nimezipata kutoka kwa watu wa karibu kabisa wanaohudumu kwenye taasisi hii inayohusika na mitihani ya TAIFA tetesi zinadai matokeo yalikua yatangazwe siku moja baada ya yale ya kidato cha pili 2022 kutangazwa, ila yakasogezwa mbele kwa sababu zifuatazo,

1. Mtihani wa taifa 2022 hakukua na mwanafunzi wa serikali hata mmoja aliyeingia 10 bora. Wote walitoka shule binafsi(private) ambapo watano KEMOBOS, watatu Saint Francis, na wawili Fedha schools.

2. Katika mtihani wa taifa 2022 hakuna shule ya serikali imegusa top 10 kinyume chake shule 10 za mwisho zilizoshika mkia ni shule za serikali sasa hii inaweza haribu sifa ya ana upiga mwingi.

Baada ya kujadili haya ambayo yangesababisha ikaonekana shule za umma hazina elimu bora hivyo kuibua mambo kadha kwa kadha kama mafao duni ya waalimu ikiwemo mishahara na nyenzo mbovu za kufundishia serikali ikaona ije na swaga kwamba "kutaja wanafunzi na shule bora hakuna tija"

3. Kuna siasa za kibiashara zimeingia zenye lengo la kuhujumu shule fulani fulani, kuna baadhi ya matajiri wa mashule wamewalipa watendaji wakuu wa Taasisi hii ili kuvuruga utaratibu ambao umeonekana unazipaisha shule fulani kibiashara .

Mtizamo wangu: Serikali isitumie nguvu nyingi kuficha madhaifu ya shule za umma lazima iyakubali ili zitafutwa mbinu za kusaidia mfano shule za private zina kanuni uwepo wa mtumishi unategemea na anavyofaurisha zaidi ya hapo hana kazi ndo sababu waalimu wa private lazima amalize topic zote zinazomhusu na ataoe mitihani mingi kuwaandaa wanafunzi hali hii ni tofauti kabisa na shule za serikali mwalimu kuingia darasani ni ishu, siku mbili bado NECTA unakuta hata nusu topic wanafunzi hawajafika.

Serikali inatakiwa iangalie namna nzuri ya kuhamisha uendeshaji wa shule za private kwenda shule za umma na sio kuficha takwimu.

View attachment 2499268View attachment 2499269View attachment 2499270
Tamka KEMEBOS
 
ww jamaa sema tu unaipigia upatu hiyo KEMEBOS.........

Huwezi shindanisha watoto wanaolipa ada M10 kwa mwaka na hawa elimu bure kwani wanasoma katika mazingira tofauti ...

Nawapongeza Necta kwa hili ingawaje wamechelewa kustuka kwani tushapiga sana kelele huu utaratibu wa kutangaza top best ni promo ya biashara na kuchochea wizi wa mitihani

Basi hata mitihani iwe tofauti kulingana na mazingira
 
ww jamaa sema tu unaipigia upatu hiyo KEMEBOS.........

Huwezi shindanisha watoto wanaolipa ada M10 kwa mwaka na hawa elimu bure kwani wanasoma katika mazingira tofauti ...

Nawapongeza Necta kwa hili ingawaje wamechelewa kustuka kwani tushapiga sana kelele huu utaratibu wa kutangaza top best ni promo ya biashara na kuchochea wizi wa mitihani
kama wanajua mazingira tofauti mbona mtihani unatungwa(1) na kufanywa sawa?

wangetunga mitihani ya watu wa waliosoma mazingira magumu na waliosoma mazingira bora.

mitihani inatungwa sawa haijalishi umesoma mazingira gani kwanini kwenye matokeo waogope kutangaza?

kutokutangaza ndo hakuna tija.
 
Basi hata top 10 ya mikoa inayoongoza kwa kukusanya kodi au mikoa bora kwa GDP isitangazwe tena maana wanachochea ukusanyaji wa mapato kwa njia haramu

Wamepuyanga hawa jamaa wameona ku promo shule binafsi hawajui hii pia inatiaga motisha
 
ww jamaa sema tu unaipigia upatu hiyo KEMEBOS.........

Huwezi shindanisha watoto wanaolipa ada M10 kwa mwaka na hawa elimu bure kwani wanasoma katika mazingira tofauti ...

Nawapongeza Necta kwa hili ingawaje wamechelewa kustuka kwani tushapiga sana kelele huu utaratibu wa kutangaza top best ni promo ya biashara na kuchochea wizi wa mitihani
Miaka yote wanashindanishwa iweje leo wasione umuhimu?
 
ilihali unajua wana uwezo tofauti sana wa kufaulu mtihani huo ni kwanini uwatungie mtihani unaofanana. Ellimu ni uwekezaji na ni biashara pia. Unajua fika kwamba kuna wanafunzi wafupi na warefu lakini unawapa mtihani wa kuruka ukuta mrefu. Ila kutangaza huko kulikuwa kunaleta ushindani sana. Nadhani ni negative perspective.
 
ww jamaa sema tu unaipigia upatu hiyo KEMEBOS.........

Huwezi shindanisha watoto wanaolipa ada M10 kwa mwaka na hawa elimu bure kwani wanasoma katika mazingira tofauti ...

Nawapongeza Necta kwa hili ingawaje wamechelewa kustuka kwani tushapiga sana kelele huu utaratibu wa kutangaza top best ni promo ya biashara na kuchochea wizi wa mitihani
Hakuna cha ushindani hapo. Takwimu ni muhimu.

Sema chief hangaya anaogopwa kuumbuka na mikopo Yake ya madarasa.

Analeta habari za kizenji huju Sisi tumeshaziea ligi katika Kila kitu.

Elimu inapoteza morali kabisaa.
 
ww jamaa sema tu unaipigia upatu hiyo KEMEBOS.........

Huwezi shindanisha watoto wanaolipa ada M10 kwa mwaka na hawa elimu bure kwani wanasoma katika mazingira tofauti ...

Nawapongeza Necta kwa hili ingawaje wamechelewa kustuka kwani tushapiga sana kelele huu utaratibu wa kutangaza top best ni promo ya biashara na kuchochea wizi wa mitihani
Milioni ya nyoko imekuwa feza hiyo cheki hizi kamba ada ni 4m bana we dogo muongo sana paaah
 
Cha ajabu sasa, mtaani wanatoboa akina diamond, hamonize, ali kiba, fei toto😂😂,
Huku hao wanaofaulu wakienda kufanya kazi serikalini, na wengi kuishia kuishi kwa kula milungula🤷‍♂️
Usikariri hatupo darasani hapa oooohooh jifariji tu kwamba wote waliopata 1 ni mafala mtaani 😒😵
 
Hao jamaa unakumbuka mwaka walikuwa wanazunguka na gari baada ya kuwa wa kwanza hakuna jamii yenye sifa kushinda wahaya bongo ,zile kama sio sifa ni nn?

Angalia hata gari ya mkurugenzi kuweka private plate number kama sio sifa ni nn?
Sasa mtu akifurahia mafanikio yake wewe unaumia kwa nini? [emoji1][emoji1]
 
Pia kuna shule za ndugu wale huwa zinashika mkia tangu zianzishwe ni aibu tupu. Wanaajiri walimu wenye itikadi yao hata kama ni empty set vichwani mwao. Kwa huu mtindo mpya wa kutotaja shule bora kutaficha udhaifu wa shule za hao ndugu
Tunawajua hawa.
 
Back
Top Bottom