Kubadilisha gia angani kwa NECTA na maajabu Kemobos

Hivi kwa nini waga tunachukiwa...tuna majanga kibao ila tukifurahia machache tuliyofanikiwa watu wanamaind [emoji38]...shule za kemebos zipo bukoba sehemu gani? One day nisafiri nikapige hata picha..[emoji16]
 
Unaumwa sio bure!! Yale matokeo yanatoka walikuwa wanazungushwa kushangalia sio kubeba wanafunzi kwenda likizo rejea ile video ya mwaka Jana.
Sasa wakishangilia wewe unaumia roho? Du bongo watu bado kushika mtutu, tuna chuki za kifala
 
Ni ya kanisa gani mkuu? Maana Loyola wameanza kutoa zero
Ni ya mtu binafsi tena hata hakubahatika kusoma sana ila anapenda Elimu hatari...Yeye ni dereva...mara moja moja anaendeshaga school buses za shule yake..
 
 
Hamna ki2 tulize tuliosoma shule kama ilboru tulichokuwa tunawafanya waliotoka shule kama izo.
Si ndio hapo sasa...Ilboru, Kibaha, Tabora Boyz ilikuwa inazikimbiza hizi shule za private...wakubali tu sasa hivi wamekuwa wazembe
 
wezi wakubwa wa mitihani.

hizi shule zipo kibiashara zaidi na hivyo wapo tayari kufanya vyovyote vile ili mradi tu washike top 10 ndio maana wanllalama eti kisa hawajatangazwa!! upuuzi mtupu!
 
Hyo shule naskia ni ya Mzee wetu wa mzoga.....sema wamejipanga haswaa ....skull buses zao ni yutong kama mabasi ya mkoani
Mzee wa msoga na Kemebos wap na wap[emoji28]

Ingia YouTube millardayo kamhoji mmiliki wa shule
 
Tunapoekekea Serikali itafuta kabisa mitihani.
Kufeli kwa watoto wa shule zaserikali kutaongezeka maradufu.
Hiki kitendo cha kuondoa chujio darasa la saba mpaka sasa haijaleta matokeo chanya.
Mtoto asiye na uwezo anaonekana tangu shule ya msingi sasa unamlazimisha amalize form four ili iweje? Tena kwenye shule ambayo darasa lina watoto 200 walimu wawili.

Kwanini hizo pesa Serikali isiwekeze kwenye kitu ambacho kitaleta tija kwa huyo mtoto ndani ya hiyo miaka minne?
Mfano elimu ya ufundi na ujasiliamali iwe ni lazima kwa watoto ambao hawajafanya vizuri shule ya msingi.

Elimu yetu imejaa siasa hakuna anaejali wanasiasa wanaichezea watakavyo.
 
Mzee wa msoga na Kemebos wap na wap[emoji28]

Ingia YouTube millardayo kamhoji mmiliki wa shule
Watu hawapend kujulikana mkuu...ila ndo ivo inajulikana kwamba ni ya mzee....mitihan inavujishwa sanaa pale ila hawafuatiliwi
 
Hakuna cha ushindani hapo. Takwimu ni muhimu.

Sema chief hangaya anaogopwa kuumbuka na mikopo Yake ya madarasa.

Analeta habari za kizenji huju Sisi tumeshaziea ligi katika Kila kitu.

Elimu inapoteza morali kabisaa.
Takwimu zinatolewa kilichokatailwa safari hii ni kutangaza top best.

Ebu niambie kama taifa tumepata tija gan kwenye elimu kwa kuwatangaza hao top best nipe faida hata moja.
 
Kwa mzazi anayejua kusoma na kuandika hahitaji NECTA kujua shule bora. kwani zile wanazolipa 78M ada ya mwaka hua zinatangazwa na NECTA? Mnashindana form 4 na form 6 then watoto mnawarunika UDOM sawa na wale waliopata daraja la 3.
 
- muhaya hata kiswahili hujui, eti ' husiokuwa' jifunze kiswahili au Elimu yako STD 7 una kazi ya kusifia wenzio kina Prof mutembei,prof mukandala.
-mkoa wa kagera generally ni mkoa masikini hapa Tanzania, kwenye kuchukua takwimu hatuangalii huko vijijini kwenye magorofa na Nyumba bora, tunachukua Wastani wa mkoa wote umeelewa ww Muhaya.
- Piga picha stendi ya bukoba mjini tuione
 
Shule niliyo soma O- level tulikuwa tunatenganishwa wanafunzi wanao faulu vizuri na wale wazinguaji, ilikua ni aibu mno kuwekwa darasa la vilaza yan ilikua ni isolation moja ya hatari. Ilisaidia wanafunzi kusoma kwa bidii ili usipelekwe kwenye darasa la uangalizi, mchujo na mitihani ya mara kwa mara ilisaidia kubaki na wanafunzi wenye uwezo mzuri darasani. Ma- shule ya CCM mengi ni uozo mtupu watoto wanapigana miti tu huko mashuleni
 
Sasa haya ni matatizo ya serikali
 

Nchi zilizoendelea zimefuta mitihani ya machujio zamani sana

USA ukianza la kwanza hakuna mchujo wowote mpaka unafika HIGH SCHOOL.

hata kama kilaza namna gani una uhakika wa kufika high school
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…