Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

Ila anakula sana rushwa,rejea sakata wa wauza unga Dar
 
Kiongozi Bora hakosi hekima,hakosi weledi,hakosi maono,haiigi mambo,huijua nafasi yake.Sijajua kama mpiga filimbi anaviona kwa ndugu yake aliyemtuma kupiga filimbi.
Huyu aliepo ana hivyo ulivyovitaja?
 
System ipi hiyo...hii hii iliyoacha nchi imegeuka shamba la bibi?
system ni kubwa sana, kuna system ya ndani na kuna syste ile nyingine ya dunia. Ile ya dunia ndiyo baab kubwa, akionwa atawafaa watamuunda na kumpa sifa stahiki awe rais
 
Hofu ya juu ya Makonda ni kubwa kuliko chama kilichompa nafasi.

Wapinzani wamesahau adui yao ni nani, kelele ziko juu ya Makonda, kuliko adui yao.
 
Ni kichaa pekee anaeweza kumchagua huyo mpuuzi kua hata mwenyekiti wa mtaa
 
Haiwezekani!

Tena asipokuwa makini atakatwa mapema kama Baba yake JPM
 
Kwa, Katiba hii ya Mwaka 1977 chochote chaweza kuwa Rais kikubwa kipitishwe na mfumo tu
 
Acheni propaganda mfu, cheti chake kitakusaidia nini wewe hayawani.
...Hayawani ni Wewe Unayemtaka tuwe na Raisi mwenye Elimu Feki kama Wewe unayeanza Matusi Badala ya Hoja ?...
 
Makonda hana tofauti sana na magufuli hilo kosa haliwezwi kufanywa na ccm tena..
 
Ngoja niombee Mungu kwa bidii juu yake, ili nijue ili linauhakika...

Nilionyeshwa Rais ni mwanaume ila jina sikuona ila nilionyeshwa atatoka katika kabila dogo...

Na wengi watashangazwa...

Basi naomba Roho Mtakatifu anionyeshe
Wakati mwingine unaweza simulia ya rohoni ukaonekana kama umekunywa mbege
 
Ubunge wenyewe ulimshinda sembuse urais?. Makonda ni mtu wa kubebwa.
 
Hii nchi inahitaji mfumo imara zaidi ya kuhitaji mtu imara, mfumo ukiwa imara hata kiuongozi akiwa m bovu maisha yanaenda tu.
Uko sahihi kabisa, mfumo imara ndiyo kila kitu na siyo mtu anayekuja na kupita...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…