Kubali ukatae, Makonda ndio Rais ajae Tanzania baada ya Samia

1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )
J.Kalimteua.

J.P.M amemteua.
Na sasa Samia amemteua.

2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David )

3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda.

4. He has a threatening aura inayo mfanya aogopwe na viongozi walio chini yake na wananchi kwa ujumla jambo ambalo ni muhimu kwa kiongozi yoyote hasa wa nchi ya kiafrika kama alivyo sema Joseph Stallin alie wahi kuwa Rais wa USSR kwamba "I do rather be feared than loved"

Fear goes hand in hand with respect.

5. Ana EQ kubwa sana. Kwa kashfa alizopewa Makonda angekuwa mtu mwenye EQ ndogo angekuwa pengine amesha kufa.

6. Ni jemedari wa vita: ameshindana vita nyingi na kuvishinda. Vita vya nyama na vita cha rohoni.

Mfano we vita vya nyama = Makonda vs wauza dawa za kulevya. Makonda anabaki kuwa kiongozi pekee duniani ambae ameshindana na wauza dawa za kulevya na akaendelea kusurvive.

Vita vya rohoni = Gwjima akiwa live madhabahuni pake alimfuta katika ulimwengu wa siasa Paul Makonda lakini Makonda huyo bado anadunda jambo linalo dhihirisha nguvu ya Makonda katika ulimwengu wa roho. Ikumbukwe kuwa huyu Gwajima sio mtoto mdogo katika ulimwengu wa roho . Anatajwa kuwa mtu mwenye nguvu nyingi sana kwa upande huo. Huko mtaani kuna Tetesi kwamba hata yule kiongozi wa kiroho wa kanisa lile wanao vaa nguo nyeupe ambao waamini wake wana amini alipaa mbinguni ni Gwajima ndio ali" muua" katika ulimwengu wa roho. Inasemekana mdogo wake Gwajima alikuwa anasali kwenye kanisa la kiongozi huyo wa kiroho then siku moja wakaenda hija, wakiwa hija mdogo wake Gwajima pamoja na baadhi ya waamini wakapoteza maisha katika hali ya kutatanisha. Gwajima akampigia simu kiongozi huyo na kumwambia " ulicho mfanyia mdogo wangu ndio tutafanyiwa hivyo hivyo. Few days later kiongozi huyo akafa pia. So tunapo mtaja Gwajima jua tunamtaja mtu ambae ni giant katika ulimwengu wa roho. Lakini pamoja na yote hayo kamshindwa Makonda. Sawa hivi katika protocols za ccm, Makonda ni mkubwa kuliko Gwajima.

Ukitazama kinacho endelea katika maisha ya kisiasa ya Makonda unaweza kusema kwamba kwa sasa Makonda ana iishi ile Zaburi inayo sema " Bwana atafanya meza yangu machoni pangu mbele ya watesi wangu"

Itoshe kusema kwamba.Mungu wa Makonda ni mkubwa sana...

Watu aina ya Makonda ndio watu wanao pataga wafuasi watiifu kwa sababu siku zote watu huwa wanapenda kuwa wafuasi wa mtu asie ogopa na alie shinda vita nyingi kama.Makonda.. na sio mtu sijui mwenye PHD blah blah blah.

Kila sehemu anako pita watu wanamuona Makonda kama mtetezi wao au mtatuzi wa shida zao.

Mark my words Makonda atakuja kuwa Rais wa nchi hii ama baada ya Samia au baada ya Rais atakae kuja baada ya Samia.

CREDIT: UKURASA WA INSTAGRAM NA FACE BOOK wa LIKUD WA JAMII FORUMS.

CC: LIKUD
Ila anakula sana rushwa,rejea sakata wa wauza unga Dar
 
System ipi hiyo...hii hii iliyoacha nchi imegeuka shamba la bibi?
system ni kubwa sana, kuna system ya ndani na kuna syste ile nyingine ya dunia. Ile ya dunia ndiyo baab kubwa, akionwa atawafaa watamuunda na kumpa sifa stahiki awe rais
 
Hofu ya juu ya Makonda ni kubwa kuliko chama kilichompa nafasi.

Wapinzani wamesahau adui yao ni nani, kelele ziko juu ya Makonda, kuliko adui yao.
 
Ni kichaa pekee anaeweza kumchagua huyo mpuuzi kua hata mwenyekiti wa mtaa
 
Haiwezekani!

Tena asipokuwa makini atakatwa mapema kama Baba yake JPM
 
Kwa, Katiba hii ya Mwaka 1977 chochote chaweza kuwa Rais kikubwa kipitishwe na mfumo tu
 
1. Ana nyota ya kupendwa na wafalme( viongozi wakuu wa nchi )
J.Kalimteua.

J.P.M amemteua.
Na sasa Samia amemteua.

2. Haogopi ( Yupo kama wajina wake King David )

3. Ana element zote za umagufuli a lot of Magufuli minions see a lot of Magufuli in Paul Makonda.

4. He has a threatening aura inayo mfanya aogopwe na viongozi walio chini yake na wananchi kwa ujumla jambo ambalo ni muhimu kwa kiongozi yoyote hasa wa nchi ya kiafrika kama alivyo sema Joseph Stallin alie wahi kuwa Rais wa USSR kwamba "I do rather be feared than loved"

Fear goes hand in hand with respect.

5. Ana EQ kubwa sana. Kwa kashfa alizopewa Makonda angekuwa mtu mwenye EQ ndogo angekuwa pengine amesha kufa.

6. Ni jemedari wa vita: ameshindana vita nyingi na kuvishinda. Vita vya nyama na vita cha rohoni.

Mfano we vita vya nyama = Makonda vs wauza dawa za kulevya. Makonda anabaki kuwa kiongozi pekee duniani ambae ameshindana na wauza dawa za kulevya na akaendelea kusurvive.

Vita vya rohoni = Gwjima akiwa live madhabahuni pake alimfuta katika ulimwengu wa siasa Paul Makonda lakini Makonda huyo bado anadunda jambo linalo dhihirisha nguvu ya Makonda katika ulimwengu wa roho. Ikumbukwe kuwa huyu Gwajima sio mtoto mdogo katika ulimwengu wa roho . Anatajwa kuwa mtu mwenye nguvu nyingi sana kwa upande huo. Huko mtaani kuna Tetesi kwamba hata yule kiongozi wa kiroho wa kanisa lile wanao vaa nguo nyeupe ambao waamini wake wana amini alipaa mbinguni ni Gwajima ndio ali" muua" katika ulimwengu wa roho. Inasemekana mdogo wake Gwajima alikuwa anasali kwenye kanisa la kiongozi huyo wa kiroho then siku moja wakaenda hija, wakiwa hija mdogo wake Gwajima pamoja na baadhi ya waamini wakapoteza maisha katika hali ya kutatanisha. Gwajima akampigia simu kiongozi huyo na kumwambia " ulicho mfanyia mdogo wangu ndio tutafanyiwa hivyo hivyo. Few days later kiongozi huyo akafa pia. So tunapo mtaja Gwajima jua tunamtaja mtu ambae ni giant katika ulimwengu wa roho. Lakini pamoja na yote hayo kamshindwa Makonda. Sawa hivi katika protocols za ccm, Makonda ni mkubwa kuliko Gwajima.

Ukitazama kinacho endelea katika maisha ya kisiasa ya Makonda unaweza kusema kwamba kwa sasa Makonda ana iishi ile Zaburi inayo sema " Bwana atafanya meza yangu machoni pangu mbele ya watesi wangu"

Itoshe kusema kwamba.Mungu wa Makonda ni mkubwa sana...

Watu aina ya Makonda ndio watu wanao pataga wafuasi watiifu kwa sababu siku zote watu huwa wanapenda kuwa wafuasi wa mtu asie ogopa na alie shinda vita nyingi kama.Makonda.. na sio mtu sijui mwenye PHD blah blah blah.

Kila sehemu anako pita watu wanamuona Makonda kama mtetezi wao au mtatuzi wa shida zao.

Mark my words Makonda atakuja kuwa Rais wa nchi hii ama baada ya Samia au baada ya Rais atakae kuja baada ya Samia.

CREDIT: UKURASA WA INSTAGRAM NA FACE BOOK wa LIKUD WA JAMII FORUMS.

CC: LIKUD
Makonda hana tofauti sana na magufuli hilo kosa haliwezwi kufanywa na ccm tena..
 
Ngoja niombee Mungu kwa bidii juu yake, ili nijue ili linauhakika...

Nilionyeshwa Rais ni mwanaume ila jina sikuona ila nilionyeshwa atatoka katika kabila dogo...

Na wengi watashangazwa...

Basi naomba Roho Mtakatifu anionyeshe
Wakati mwingine unaweza simulia ya rohoni ukaonekana kama umekunywa mbege
 
Ubunge wenyewe ulimshinda sembuse urais?. Makonda ni mtu wa kubebwa.
 
Hii nchi inahitaji mfumo imara zaidi ya kuhitaji mtu imara, mfumo ukiwa imara hata kiuongozi akiwa m bovu maisha yanaenda tu.
Uko sahihi kabisa, mfumo imara ndiyo kila kitu na siyo mtu anayekuja na kupita...
 
Back
Top Bottom