Wataanza kupata huduma ya kwanza wakiwa ndani ambulasiWakibebwa na ambulance π ndio watapona majelaha bila kufika hospital?
All the best
Ccm wanacho jua ni wizi wa kura na kusifia tuu. Kwenye mambo serious hawakoMajeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Endeleeni kusubiria wabadilike ...Ishu si kuzoea kilaza wewe wahusika wabadilike
Mengine mbwembwe tu wafike hospital....harakaMajeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Yaani mkuu umeongea ukweli kabisa..Hakuna kitu KIBAYA Mkuu kama Tabia inayoshamiri ya kukatisha tamaa kila Jambo jema. Watu wameshinda Kariakoo wakifanya uokoaji toka Asubuhi. Ndugu yangu hujaona mazingira halisi, hujashiriki kusaidia, ajabu unakosoa kilichotumika kuwawahisha Hospitali. Kama hakukuwa na Ambulance karibu, wangeachwa pembeni wapoteze maisha eti kwasababu inasubiriwa ambulance? Au Prof Janabi baada ya kufika angeagiza zoezi lisitishwe mpaka ambulance zifike? Mbona wapo majeruhi ambao nimeshuhudia wakipakiwa kwny Ambulance kueahishwa Hospitali na sio wote wamepakiwa kwny Pick up. Hivi unajua NEGATIVITY ni Ugonjwa?
Kuna maiti ziliwahi kutengenezewa majeneza ya mabanziSasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Mkuu; Umenena sawia. Tuseme "Kwa kuwa hakuna binadamu aliye mkamilifu; basi kila atakachofanya binadamu nacho kitakuwa sio kamilifu".Ungekua eneo la tukio usingeongea hayo mkuu..
Hayo π π ndo baadhi ya madhara ya kuzaliwa mjini, Kukulia mjini, Kusoma shule za English medium, shule unapelekwa na kurudishwa kwa gari........... n.k. Hiki ndo Kizazi kisichojua kuna wakati wa shida na kuna wakati wa hali shwari- kawaida. Hawajawahi kuona mgonjwa kawekwa juu ya kitanda kafungwa kwa kamba ili asianguke akikimbizwa Hospitali iliyo umbali wa zaidi ya Km 8 na vijana barubaru huku vijijini. Mgonjwa akipona huja kutoa mbuzi kama zawadi/shukrani kwa vijana hao.Kama haipo so wasubiri hadi wafike. Sisi hata mtu akizidiwa home tunamkimbiza hospital wenyewe sio kupiga simu ambulance ije kumfuata bado tunaishi zama za giza. Ambulance kwa tz ni anasa gharama ya kumkimbiza mtu kwa ambulance ukiambiwa unaweza kudhani anapanda yatch luxury.
So, ninashangaa kuona mnashangaa watu kukimbizwa na pickup.
Narudia, la msingi ni wawahishwe hospital wafike wakiwa hai watibiwe mengine hayana maana...
Hatuna Fedha za kununulia magari ya kubeba wagonjwa. Tunazo pesa za kununulia magari ya VX ya kuwabeba watawala wanasiasa tu pamoja na magari ya Polisi ya maji ya kuwasha ili kuwadhibiti waandamanaji.Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa
Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana
Comasava
Ambulance zilikuwa ziwepo mkuu, zenyewe zina first aid.Ungekua eneo la tukio usingeongea hayo mkuu..
Mkuu kwa kweli hatuwezi katiza uokoaji kwa kusema tusubiri ambulance...Ambulance zilikuwa ziwepo mkuu, zenyewe zina first aid.
Labda km hamna tuambizane ukweli
Angalia chopper hio imemtoa mgonjwa Nungwi, kumpeleke hospital Lumumba Zanzibar.
Zanzibar kila jimbo lina ambulance mkuu. Na ukipiga simu tu fasta imefika
Lkn hatupaswi kuridhika. Sio hali ya kawaida katika karne hii.Hayo π π ndo baadhi ya madhara ya kuzaliwa mjini, Kukulia mjini, Kusoma shule za English medium, shule unapelekwa na kurudishwa kwa gari........... n.k. Hiki ndo Kizazi kisichojua kuna wakati wa shida na kuna wakati wa hali shwari- kawaida. Hawajawahi kuona mgonjwa kawekwa juu ya kitanda kafungwa kwa kamba ili asianguke akikimbizwa Hospitali iliyo umbali wa zaidi ya Km 8 na vijana barubaru huku vijijini. Mgonjwa akipona huja kutoa mbuzi kama zawadi/shukrani kwa vijana hao.
Sasa tuombe Mungu awafanyie wepesi hao waathirika wapone halafu tuone kama watalalamika kwamba mbona au kwa nini walipakiwa kwenye pick up.
Tukiendekeza hayo ipo siku utashangaa mtu anadai chopa ingetumika.
Sawa. Lkn mleta mada ana haki ya kushangaa. Sio hali ya kawaida.Mkuu kwa kweli hatuwezi katiza uokoaji kwa kusema tusubiri ambulance...
Lawama zote kuhusu kuwahi au kuchelewa kwa ambulance ni bora zikaanza baada ya kumaliza harakati za uokoaji
Daaah ndo hvo tena....Sawa. Lkn mleta mada ana haki ya kushangaa. Sio hali ya kawaida.
Tusiridhike na hali ambazo zinaweza kuwa amended na serikali yetu. Like serious majeruhi wanapakizwa kwenye pickup km tupo vita ya pili ya dunia
Mkuu kwa kumuelimisha huyu kilaza π π€£ πUnajua kwamba matibabu huanzia ndani ya ambulance?
Asante Madam wamepakiwa mpaka kwenye Vilikuu ni aibu hiiSawa. Lkn mleta mada ana haki ya kushangaa. Sio hali ya kawaida.
Tusiridhike na hali ambazo zinaweza kuwa amended na serikali yetu. Like serious majeruhi wanapakizwa kwenye pickup km tupo vita ya pili ya dunia
Unataka kutongoza sasa?Daaah ndo hvo tena....
Hakuna option nyingine...
Nje ya mada mkuu naweza kukuulizwa swali...
KaribuDaaah ndo hvo tena....
Hakuna option nyingine...
Nje ya mada mkuu naweza kukuulizwa swali...
Mtu mwenyewe anaitwa Poor (Ziro) Brain mkaribishe kwa tahadhari kubwa π π πKaribu