Kubeba majeruhi kwenye gari za wazi (Pickup) badala ya gari za wagonjwa (ambulance) kwenye tukio la kuanguka ghorofa K/Koo ni sahihi?

Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance

Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?

Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa

Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana

Comasava
Ccm wanacho jua ni wizi wa kura na kusifia tuu. Kwenye mambo serious hawako
 
Mengine mbwembwe tu wafike hospital....haraka
 
Hakuna kitu KIBAYA Mkuu kama Tabia inayoshamiri ya kukatisha tamaa kila Jambo jema. Watu wameshinda Kariakoo wakifanya uokoaji toka Asubuhi. Ndugu yangu hujaona mazingira halisi, hujashiriki kusaidia, ajabu unakosoa kilichotumika kuwawahisha Hospitali. Kama hakukuwa na Ambulance karibu, wangeachwa pembeni wapoteze maisha eti kwasababu inasubiriwa ambulance? Au Prof Janabi baada ya kufika angeagiza zoezi lisitishwe mpaka ambulance zifike? Mbona wapo majeruhi ambao nimeshuhudia wakipakiwa kwny Ambulance kueahishwa Hospitali na sio wote wamepakiwa kwny Pick up. Hivi unajua NEGATIVITY ni Ugonjwa?
Yaani mkuu umeongea ukweli kabisa..
Kuna watu humu just wanaandika tu kwa kuwa hawakuwa sehemu ya tukio..
 
Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?
Kuna maiti ziliwahi kutengenezewa majeneza ya mabanzi
 
Ungekua eneo la tukio usingeongea hayo mkuu..
Mkuu; Umenena sawia. Tuseme "Kwa kuwa hakuna binadamu aliye mkamilifu; basi kila atakachofanya binadamu nacho kitakuwa sio kamilifu".
Kila juhudi njema imefanyika hapo lakini bado anajitokeza mtu from no where anakuja kukosoa. Dah! Tuvumiliane tuu.
 
Kama haipo so wasubiri hadi wafike. Sisi hata mtu akizidiwa home tunamkimbiza hospital wenyewe sio kupiga simu ambulance ije kumfuata bado tunaishi zama za giza. Ambulance kwa tz ni anasa gharama ya kumkimbiza mtu kwa ambulance ukiambiwa unaweza kudhani anapanda yatch luxury.
So, ninashangaa kuona mnashangaa watu kukimbizwa na pickup.
Narudia, la msingi ni wawahishwe hospital wafike wakiwa hai watibiwe mengine hayana maana...
Hayo 👆 👆 ndo baadhi ya madhara ya kuzaliwa mjini, Kukulia mjini, Kusoma shule za English medium, shule unapelekwa na kurudishwa kwa gari........... n.k. Hiki ndo Kizazi kisichojua kuna wakati wa shida na kuna wakati wa hali shwari- kawaida. Hawajawahi kuona mgonjwa kawekwa juu ya kitanda kafungwa kwa kamba ili asianguke akikimbizwa Hospitali iliyo umbali wa zaidi ya Km 8 na vijana barubaru huku vijijini. Mgonjwa akipona huja kutoa mbuzi kama zawadi/shukrani kwa vijana hao.
Sasa tuombe Mungu awafanyie wepesi hao waathirika wapone halafu tuone kama watalalamika kwamba mbona au kwa nini walipakiwa kwenye pick up.
Tukiendekeza hayo ipo siku utashangaa mtu anadai chopa ingetumika.
 
Majeruhi karibu wote waliokolewa wapatao 40 mpaka sasa kwenye tukio la kuanguka kwa ghorofa mitaa ya Kariakoo jijini Darisalama wamepelekwa hospitali ya Muhimbili wakiwa wamepakiwa kwenye gari za wazi nyuma maarufu kama Pick Up badala ya gari maalum za wagonjwa ambulance

Sasa najiuliza Kariakoo ni karibu kabisa na hospitali ya Amana na Muhimbili na hospitali nyingi tu za binafsi kama Rengency zipo mitaa hiyo kwanini ambulance za hospitali hizo hazikutumika kuja kuchukua majeruhi hao baadala yake wametumia Pickup za polisi na watu binafsi?

Matokeo yake kaja Dkt. Janabi, Mkuu wa Mkoa na Waziri Mkuu na magari ya kifahari aina ya landcruiser V8 ambayo pia hayakutumika kubeba majeruhi hao bali yamepaki yanawasubiri waheshimiwa

Polisi siku zote wanazuia gari za wazi kupakia abiria nyuma kwa sababu za kiusalama pindi ikitokea ajali wataumia sana

Comasava
Hatuna Fedha za kununulia magari ya kubeba wagonjwa. Tunazo pesa za kununulia magari ya VX ya kuwabeba watawala wanasiasa tu pamoja na magari ya Polisi ya maji ya kuwasha ili kuwadhibiti waandamanaji.
Je, wewe kwani ulikuwa unatakaje????
 
Ungekua eneo la tukio usingeongea hayo mkuu..
Ambulance zilikuwa ziwepo mkuu, zenyewe zina first aid.
Labda km hamna tuambizane ukweli
Angalia chopper hio imemtoa mgonjwa Nungwi, kumpeleke hospital Lumumba Zanzibar.
Zanzibar kila jimbo lina ambulance mkuu. Na ukipiga simu tu fasta imefika
 
Attachments

  • VID-20241110-WA0027.mp4
    4.3 MB
Ambulance zilikuwa ziwepo mkuu, zenyewe zina first aid.
Labda km hamna tuambizane ukweli
Angalia chopper hio imemtoa mgonjwa Nungwi, kumpeleke hospital Lumumba Zanzibar.
Zanzibar kila jimbo lina ambulance mkuu. Na ukipiga simu tu fasta imefika
Mkuu kwa kweli hatuwezi katiza uokoaji kwa kusema tusubiri ambulance...

Lawama zote kuhusu kuwahi au kuchelewa kwa ambulance ni bora zikaanza baada ya kumaliza harakati za uokoaji
 
Hayo 👆 👆 ndo baadhi ya madhara ya kuzaliwa mjini, Kukulia mjini, Kusoma shule za English medium, shule unapelekwa na kurudishwa kwa gari........... n.k. Hiki ndo Kizazi kisichojua kuna wakati wa shida na kuna wakati wa hali shwari- kawaida. Hawajawahi kuona mgonjwa kawekwa juu ya kitanda kafungwa kwa kamba ili asianguke akikimbizwa Hospitali iliyo umbali wa zaidi ya Km 8 na vijana barubaru huku vijijini. Mgonjwa akipona huja kutoa mbuzi kama zawadi/shukrani kwa vijana hao.
Sasa tuombe Mungu awafanyie wepesi hao waathirika wapone halafu tuone kama watalalamika kwamba mbona au kwa nini walipakiwa kwenye pick up.
Tukiendekeza hayo ipo siku utashangaa mtu anadai chopa ingetumika.
Lkn hatupaswi kuridhika. Sio hali ya kawaida katika karne hii.
Hapo kwa uchache kulitakiwa kuwe na ambulance walau 10. Ni hali ya dharura
Hata hospital za private wangejitolea ambulance zao kusaidia. Ndio professionalism
 
Mkuu kwa kweli hatuwezi katiza uokoaji kwa kusema tusubiri ambulance...

Lawama zote kuhusu kuwahi au kuchelewa kwa ambulance ni bora zikaanza baada ya kumaliza harakati za uokoaji
Sawa. Lkn mleta mada ana haki ya kushangaa. Sio hali ya kawaida.
Tusiridhike na hali ambazo zinaweza kuwa amended na serikali yetu. Like serious majeruhi wanapakizwa kwenye pickup km tupo vita ya pili ya dunia
 
Daaah ndo hvo tena....
Hakuna option nyingine...

Nje ya mada mkuu naweza kukuulizwa swali...
 
Back
Top Bottom