Kubeba ujauzito na kupata mtoto hakumfanyi mwanaume akupende

Dah kwa vijana wasiojielewa labda binafsi siwezi acha mwanangu pemben ata wawe mia kama ni bao langu ntakomaa nao tu
 
Dah kwa vijana wasiojielewa labda binafsi siwezi acha mwanangu pemben ata wawe mia kama ni bao langu ntakomaa nao tu
Ninyi mnaojifanya mnajielewa ndio punch-beg la Wanawake siku zote. Hilo tunalijua mbona
 
Kuna msemo sijui niliukuta twitter au humu ,kwamba mwanaume huitaji kitu kimoja kwa wanawake wengi na mwanamke anahitaji vitu vingi kwa mwanaume mmoja.
 


"Mimi kukutongoza sio kigezo wala sababu ya kukupenda, ni tamaa zangu tuu ndio zinataka nizishibishe, nichape mzigo Roho itulie"

Inawezekana andiko lako lina usahihi, lakini, sidhani kama wanaume wote wana tabia ya kihuni kama yako unayosema hapo juu.

Mimi sina kumbukumbu kabla ya kuoa, kutongoza au kufuata mwanamke ambaye simpendi, lazima nilimpenda.

Na baada ya kuoa, sikumbuki ni lini nimetongoza mwanamke kwa sababu tu nataka lala naye, na simpendi kabisa, wanawake walionivutia baada ya kuoa (nina miaka 18 ya ndoa), wawili,

Wote nimekaa nao mda sana kazini mpaka upendo uka develope, nililala na mmoja alikuwa ajaolewa, mwingine sikulala naye maana alikuwa kaolewa.

Kwa tabia yako ya hovyo uliyosema hapo juu, sidhani kama hawa dada wana sababu ya kusikiliza ushauri wa mwanaume wa hovyo

(Samahan lakinu Comred).
 

Hapa tunazungumzia wanaume na tabia zao. Ninyi ambao ni wachache msio na tabia hizo nilizo zitaja sidhani kama hii mada inawahusu Sana.

Wanaume tunatamaa hiyo Ipo hivyo Dunia nzima. Wanaume wasio na tamaa ni aidha wanamatatizo ya Akili, Saikolojia, mwili au wanaroho nyingine nafsini mwao.
 


Wewe ni Mkristo? Biblia, author - Neno la Mungu, na Kristo ambaye ni Mungu lifanyika mwili 100%, na akathibitisha kwamba inawezekana.

Anatutaka tuishi hivyo, na anategemea, tunaweza kuwa wadhaifu, ila sidhani ni sawa kwa namna ulivyohubiri huo udhifu, hasa mtu mwenye ushawishi kama wewe.
 
Kwa hiyo baada ya kuoa umechepuka, tena na mwanamke mmoja tu!!
 

Si hubiri udhaifu. Mimi nazungumzia uhalisia. Ninyi ndio mnafanya Ukristo uonekane ni unafiki.

Hiyo Biblia yenyewe Kina Ibrahim, Yakobo, Daudi, Suleiman n.k wengi wao walikuwa na Wanawake wengi unataka Mimi nisemeje Mkuu?

Wanaume tumeumbwa na tamaa, na kupitia tamaa hiyo ndio inawafanya Wanawake nafasi Yao ionekane
 


Kwa hiyo aliyetuumba anapoelekeza tufanya Jambo ambalo haliwezekani anatuonea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…