Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Leo Mahakama ya Kisutu imempa ushindi Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya Mwanaccm Paulo Makonda.
Ikumbukwe kwamba Makonda akiwa na vyeo vya kuteuliwa alimshitaki Kubenea kwa kumtusi na kumhatarishia Maisha (YAANI ETI KUBENEA AHATARISHE MAISHA YA MAKONDA!)
Kubenea alikuwa anatetewa na Wakili Msomi Peter Kibatala.
Chanzo: MwanaHalisi.
Mytake: Huu ni mwanzo mzuri wa kufufua ile kesi ileeee.
KILA UBAYA UTALIPWA
=====
ALIYEKUWA mbunge wa Ubungo, Saed Kubenea, ameshinda kesi ya Jinai aliyofunguliwa na Paul Makonda. Uamuzi huo, umetolea leo 17 Agosti na Mahakama ya Kisutu. Katika shauri hilo, Kubenea alidaiwa kumtusi Makonda na kuhatarisha usalama. Kubenea alikuwa akitetewa na Peter Kibatala.