Mimi sio mwanasiasa, simsemei mtu yeyote. Ila ukijipambanua kama mfuasi wa CHADEMA na mtetea wananchi endeleza Ili tujue unachokipambania. Sio leo KATIBA MPYA.Mbona wewe hujawahi kuandika cha maana kusaidia hao wananchi? Kwanini utegemee wengine ndio wawasemee? Au wewe ni beki tatu anayemiliki simu hivyo kwa vile kula kulala unajiona uko sawa maisha yako byee?
Halafu ghafla umelambishwa asali unaanza kuleta story za bifu za wanaume wawili tusio na faida nao as if una mimba ya mmojawapo.