Mimi sio mwanasiasa, simsemei mtu yeyote. Ila ukijipambanua kama mfuasi wa CHADEMA na mtetea wananchi endeleza Ili tujue unachokipambania. Sio leo KATIBA MPYA.Mbona wewe hujawahi kuandika cha maana kusaidia hao wananchi? Kwanini utegemee wengine ndio wawasemee? Au wewe ni beki tatu anayemiliki simu hivyo kwa vile kula kulala unajiona uko sawa maisha yako byee?
Wewe na yeye nani anapoteza muda? Ni wewe unayesoma post usiyoitaka.
Anzisha yako, au unajijua mtupu?
Kubenea awe kama Ruto tu. Asilipe kisasi!Leo Mahakama ya Kisutu imempa ushindi Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya Mwanaccm Paulo Makonda...
Kwahiyo mnataka kukiloga au kukiteka mkitupe kwenye mifuko ya Sandarusi baharini kikaokotwe Tanga?Hiki kitoa post kinajikutaga alwatan kwenye hii nchi
Hajui anapoteza muda wake bure
Unateseka ukiwa wapi aiseee?Mkuu hutawaona wakianzisha topic yoyote ya maana inayohusu wananchi sio live au mitandaoni. Wote wamepigwa ganzi as if matatizo ya wananchi waliyokuwa wakiyasemea yote yametatuliwa, wamebakiza kushabikia ishu za kijingakijinga,., hivi mwanaume unakaa unawawaza wanaume wenzako Makonda na Kubenea kwa bifu zao za kifala una akili timamu!?, Halafu mleta mada anajionaga tajiri na kuwaita watu maskini, niliwahi kumwambia hakuna tajiri duniani anashinda mitandaoni huku akianzisha thread za kipumbavu. Ila mbongo akimiliki Brevis au Alphard na waliomzunguka mtaani hawana kitu anajiona tajiri. Kumbe ni kukosa exposure ya kinachoendelea duniani.
hv Makonda kashajaribu tena kuomba Visa ya Usa!?
[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]Mbona wewe hujawahi kuandika cha maana kusaidia hao wananchi? Kwanini utegemee wengine ndio wawasemee? Au wewe ni beki tatu anayemiliki simu hivyo kwa vile kula kulala unajiona uko sawa maisha yako byee?
Joined July 2022 .Hiki kitoa post kinajikutaga alwatan kwenye hii nchi
Hajui anapoteza muda wake bure
Kuna uzi humu walikuja chawa wake kumuombea teuzi kwa mama eti Amsha Amsha Dar inatakiwa mtu kama yeye. Niliwaambia huyo muuaji hana chance. Nilibanwa mpaka inbobo kuleta ushahidi alimuua nani.Kesi yake ya unyang'anyi maandalizi yake yamekamilika
Joined 2022, haina maana mtu ni mgeni humu ni IDs tu mkuu.Joined July 2022 .
Ushahidi umejaa tele, hatutaumwaga hadharani hadi apandishwe kizimbani, watakimbiana.Kuna uzi humu walikuja chawa wake kumuombea teuzi kwa mama eti Amsha Amsha Dar inatakiwa mtu kama yeye. Niliwaambia huyo muuaji hana chance. Nilibanwa mpaka inbobo kuleta ushahidi alimuua nani.
Hii kesi ni hatua moja mbele kuthibitisha claims zangu kuwa jamaa hakuwa mwema hata kidogo.
Mtatoka wote vichakani, Mamluki wakubwa nyie!Joined 2022,haina maana mtu ni mgeni humu ni IDs tu mkuu.
Asante kwa kutufuatilia kwa kishindo
Kichwa cha habari kimekaa kwa kumvutia msomaji ni kama vile kesi kamili imeisha duh!.Leo Mahakama ya Kisutu imempa ushindi Mbunge wa zamani wa Ubungo , Saed Kubenea dhidi ya Mwanaccm Paulo Makonda...
Kuitoa CCM?Baada ya kulambishwa asali hizi ndo thread pekee mlizobakiza kuleta Jamii forums. Wenzako akina SalarySlip na mmawia ndo wamepotea kabisa na bado mna matumaini ya kuitoa CCM madarakani. Aliyewaita NYUMBU aliona mbali sana.
Kushughulikia maafisa vipenyo baada ya kufuata maagizo ya 'mkuu' ni kutuma ujumbe mbaya kwa maafisa vipenyo wengine, kesho watadindia maelekezo ya 'mkuu'
Aliyekudanganya kwamba mama ni Rais wa milele nani?Makonda hawamwezi aseee wataruka kama popcorn mwisho wa siku watatulia. Nasema hivi sababu ana mkono wa mama wataishia kumwangalia tu