Kubenea ashinda kesi dhidi ya Makonda. Alidaiwa kumtusi na kuhatarisha usalama

Mtatoka wote vichakani , Mamluki wakubwa nyie !
Hapana mkuu wengine wala hatushabikii siasa,

Na siyo kila unayeonekana naye hapa jamvini anamtetea Makonda hapana.

Mioyo ya watu hutofautiana, wapo waliochukizwa na aliwaumiza kwenye utawala wake lakini wanasamehe.

Lakini kwa watakaomchukulia sheria nao waheshimiwe

Maisha ni haya haya.
 
Siku kibao kikibadilika ghafla kuna watu watakimbilia Malawi maana huko ng'ambo hawatawahi..............visasi ambavyo mamlaka imewapa nafasi kuvilipiza vitawapoteza kwenye ramani yetu macho.
 
Mbona wewe hujawahi kuandika cha maana kusaidia hao wananchi? Kwanini utegemee wengine ndio wawasemee? Au wewe ni beki tatu anayemiliki simu hivyo kwa vile kula kulala unajiona uko sawa maisha yako byee?
Basi msijiite ma GT wakati kutwa nzima mmaandika habari na post za kithenge kuhusu makonda na upuuzi mwingine muende kwenye jukwaa la MMU kula tunda kimasihara.
 
Baada ya kulambishwa asali hizi ndo thread pekee mlizobakiza kuleta Jamii forums. Wenzako akina SalarySlip na mmawia ndo wamepotea kabisa na bado mna matumaini ya kuitoa CCM madarakani. Aliyewaita NYUMBU aliona mbali sana.
Nyumbu umewatambua nyumbu wenzako na umekuja kukomenti.
 

Wewe ndie mpiga zumari wetu tegemezi wa Chadema ndani ya JF,
Sasa unapoanza kuleta mada za kipuuzi na kushupalia ujinga ujinga unatupa sana mashaka ya kiuwezo kwa Chadema kwasasa

Inasikitisha sana..!!!
 
Mpumbavu wewe! Kwani mtu kuwa mfuasi wa chama cha siasa ndio kuwa mtetezi wa wengine? We kweli juha
 
Just wasting time,you can change nothing
Kwasababu mnajihusisha na mambo madogo
Very low
Hayo ni mambo individual na watu kwa interest zao wanaweza kujadili freely, ni watu wapumbavu tuu ndio wanaoweza kufanya mawazo na matendo ya mtu binafsi kuyatafsiri kama ndio ya chama chake.
Mbona Sabaya alipokuwa anawalawiti kwa nguvu watu hakuna aliyesema CCM inalawiti watu?
 
Ni Kibatala tena.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…