Kubenea ashinda kesi dhidi ya Makonda. Alidaiwa kumtusi na kuhatarisha usalama

Basi nyie Chadomo kazi yenu ni kufurahia tu kesi mnazoshinda Mahakamani za kina Makonda na za CCM. Hamna mikakati wala nia ya kuleta mabadiliko ya kweli nchi hii.
Zile kesi mnazoangumia pua utasikia "hatuna mahakama huru" mara "jaji kapewa maagizo kutoka juu"
 
Wewe ndie mpiga zumari wetu tegemezi wa Chadema ndani ya JF,
Sasa unapoanza kuleta mada za kipuuzi na kushupalia ujinga ujinga unatupa sana mashaka ya kiuwezo kwa Chadema kwasasa

Inasikitisha sana..!!!
mmenipa lini cheo hicho ?
 
Makonda ni Shetani kwenye mwili wa binadamu. Kile kiumbe achana nacho, yeye na Mwendazake wote walikuwa mashetani
Mwenyezi Mungu ndio wa kumuachia.......Hakuna alie mkamilifu hapa chini ya jua..
Mkuu bila shaka wewe ni malaika..
 
Weka nakala ya hukumu hapa kuthibitisha hilo na kwamba kwenye hukumu hiyo hakuna nafasi ya kukata rufaa.....
 
Weka nakala ya hukumu hapa kuthibitisha hilo na kwamba kwenye hukumu hiyo hakuna nafasi ya kukata rufaa.....
Ya rufaa yanatuhusu nini sisi ? kesi imeisha na Makonda kaangukia pua ndio lililopo , hayo mengine hayatuhusu .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…