Kawe Alumni
JF-Expert Member
- Mar 20, 2019
- 8,685
- 12,000
Mkuu unamshahuri ahame chadema hili aje ccm alafu agombee ubunge kupitia , ccm ...kweli inainga Akili wakati sisi wana ccm hapa tumeshaweka nia hill tugombee hilo Jimbo la ubunge ...sijuo unamshauri ahamie, wapi Think twice... Watu tumeipigania ccm mda mrefu then mtu anatoka chadema kuja ccm alafu anapewa crown yakupeperusha bendela...uwo niujinga ...waache watu walio ijenga ccm nawenyewe wapate nafasi kweny chama chao.
Buku 7 tayari umeshaingiza sikuTunakuunga mkono mh kubenea hamia chama chochote Achana na hao wapiga majungu wa ufipa
Kubenea huyu ambae alimwagiwa tindikali Mafisadi,Jakaya akampeleka india kutibiwa bado amekubali kukaa na wahuni na matapeli? Nafikiri anasubiri mafao tu maana muda si mrefu mtanange unaanza.Tunakuunga mkono mh kubenea hamia chama chochote Achana na hao wapiga majungu wa ufipa
Kubenea Ni mtanzania na JK Ni muungwana ndo maana serikali iligharimikia matibabu yake.umeleta tuhuma kuwa anakaa na wahuni na matapeli,Kama sikosei makosa hayo Ni serious Sana(crime) bila kuziainisha kwa kutaja na kuthibitisha,kwa ujumla comment yako Ni takataka.Kubenea huyu ambae alimwagiwa tindikali Mafisadi,Jakaya akampeleka india kutibiwa bado amekubali kukaa na wahuni na matapeli? Nafikiri anasubiri mafao tu maana muda si mrefu mtanange unaanza.
Ina maana sijui ccm mmekosa watu wakugombea majimbo mpaka msubiri kutoka chadema ,,,wenzio wakiamia ccm wanapewa uwaziri wewe unkaa Jf unalipwa elf 7 siujinga sasa.
Wazo linalofikirisha.
Inaonekana kuna vita kali ya kumg'owa Kubenea kwenye kiti cha ubunge ili awekwe mtu wa nyumbani.
Kuna mlilolitegemea leo toka kwa Mh Kubenea. Poleni kwa kuachwa njia panda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha kupotosha watu, aliyemtibia Kubenea ni Marehemu Mzee Ndesamburo ambaye ni Mwana CHADEMA. Period
Duh...!.Ondoka Chadema Achana na vyama vya watu
Akufukuzay...
USHAHIDI ungeanza kuuweka wewe kwenye Hoja yakoLeta ushahidi,
Jana walimtukana kila aina ya matusi. Wakidhani anajitoa cdm.Wewe huna hoja nimeamua nikupuuze rasmi sasa
Ofcourse jana walimkejeli wakijua anahama. Hawa bavicha ni wabaya sana.Jana walimtukana kila aina ya matusi. Wakidhani anajitoa cdm.
Leo wanamtetea kwasababu kaakhirisha kujitoa. Kesho akijitoa utaona matusi yao humu. Wasikusumbue.
Nyumbuuuuz
Sent using Jamii Forums mobile app
Mh! Hatari sana... Ngoja tuone... Siasa ndivyo zilivyo... You are like a toilet paper...
Cc: mahondaw
Jana walimtukana kila aina ya matusi. Wakidhani anajitoa cdm.
Leo wanamtetea kwasababu kaakhirisha kujitoa. Kesho akijitoa utaona matusi yao humu. Wasikusumbue.
Nyumbuuuuz
Sent using Jamii Forums mobile app